Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Niwe mkweli tu,BAK ndiye aliye nishawishi kwa hoja zake zisizokuwa na matusi,hata akiwa MMU alikuwa makini sana kuchangia.Muhimu: like ya kwanza kabisa kwangu ilitoka kwake BAK,nilishangilia kweli kimoyomoyo.Long live BAK[emoji120] [emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…