Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
buzitata popote ulipo njoo hukuWakuu
Mbona ampost
Post kwa hasira ndo najiandaa kumsindikiza kichwa kichafu
Post tuwape likes
Na iwe hovyo..My prediction
Manchester united 1- 2 Barcelona
Mimi mwenyewe respect kwako mkuu wewe ni Genius oneMimi sijakifikia cheo cha uGT mkuu. Walikuwepo akina Kiranga, Mzee Mwanakijiji (MM), wewe, Nyani, Paskali, Bold na wengineo. Cha kusikitisha ni kwamba wengi wao siku hizi hawaonekani tena. Binafsi nilijiunga JF ili kumfuatilia MM na Kiranga. MM naamini gia ya angani ilimkatisha tamaa lakini Kiranga hata sijui alipotelea wapi. Huyu jamaa alikuwa na welewa wa ajabu wa mambo mengi sana (japo alikuwa ananiudhi akianza kupinga uwepo wa Mungu). Mpaka leo pengo lake halijawahi kuzibwa hapa JF!
Najua unaumia tu[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pole sana
AmenNa iwe hovyo..
Nimekwambia usini quote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kama waondoka ondoka kimya kimya bhana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na utakoma niache kwanza[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Namesikitika walahiMimi mwenyewe respect kwako mkuu wewe ni Genius one
PokeaGonga Likes
Nitarudi tu mkuu
Pamoja mkuuNipo nazingua tuu kiongozi
Boss BossKichwa kichafu
[emoji23][emoji23]zizi litakua halina mmilikiUtakapo ondoka GeJo atakuwa mjane eeeh???
Weka likes pata likesGonga Likes