Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Natafuta Mke na niko serious. Kama unajijua ni binti mrembo na sio slay queen chap tuma CV Pm.

Kipaumbele kitakua kwa binti anaejielewa na Atakae kidhi vigezo. Zingatia tuma CV.
 
Umri .......25
Makaz ....iringa
Kazi... .....mfanyakazi wa uma+biashara ndogo
Elimu....... level three ya electrical installation
Dini mkristo(tena mlokole)
Mcheshi,mpole,mkali,[emoji41]


kelphin kepph
Mlokole wa mchongo[emoji1787]
 
Muwe makini pia guys, matapeli ni wengi sana, Kuna mkaka aliwahi andika bandiko kwa mtandao fulani kua anatafuta mke, wadada wakatuma maombi kama yote, kumbe yule kaka mi mume wa mtu na tena hana hata kazi,

Aliwatafuna wadada uwiiii, yaani walikua wanasafiri tena kwa nauli zao kumfata bonge la bwana, wengine walikwea hadi pipa , nyie wanawake tuko desperate na ndoa, kaka aliwala hadi huruma, na wengine akawa anawaambia niko na ratiba ngumu, nitumie nauli nipande ndege nikufate, wajinga walituma, aseeee

Guys msicheze na hisia za wadada, kama hauko na uhitaji waachie wenzio wenye nia, wadada usimtumie mtu pesa eti atakuja kunioa, watu wanalizwa sana, wengine wanaoa hadi ndoa feki aseee...

Mtu ana mke na watoto yuko bize amekomaza shingo mtandaoni anatafuta mke, matapeli ni wengi, trust no one, usitume picha zako ovyo, take time kumjua mtu, usiende meetings kiholela mtaishia kuliwa na ndoa mtaiskia kwa bomba, tena mtaliwa bureeee,

Be carefully and all the best....
Hii chai☕☕☕ya moto sana. ungeipooza hata kidogo bac.

wapi uko mdada anatuma nauli?

au unafurahisha genge?
 
Sijui niweke wasifu au basi ila nataka tu kuchepuka lakini sio na mke wa mtu
 
Naitaji mchumba ( Mwanamke) aliye serious.

Me Mwanamme.
Miaka 30
Naishi Dar Gongo la mboto
Dini yangu Mkristo.
Akipatikana wa mitaa ya karibu na Gongo la mboto na mitaa ya jirani itapendeza zaidi.

Namba yangu 0672882686.
Karibu tuyajenge.
Rick boy anataka kufanya kazii
 
Naitaji mchumba ( Mwanamke) aliye serious.

Me Mwanamme.
Miaka 30
Naishi Dar Gongo la mboto
Dini yangu Mkristo.
Akipatikana wa mitaa ya karibu na Gongo la mboto na mitaa ya jirani itapendeza zaidi.

Namba yangu 0672882686.
Karibu tuyajenge.
We sema tu unatafuta Mwanamke wa kumgonga au kugongana nae fika Banana hapo wamejaa kibao jichagulie unaemtaka mpige sound mshikishe kidogo nenda kamgonge
 
Back
Top Bottom