Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

I promise to love you,today,tomorow and forever
Katika Hali zote utakazo kuwa nazo,I will stand by your side,and I can't wait to spend the rest of my life with you darling
I praise the Lord above for sending me your love.I will always love you Jane wangu mpendwa.
 
Jina langu k. awe mnene kiasi asiwe flat screen. Asiwe na maziwa madogo sana asiwe mfupi sana saizi ya kati umri 22hadi 26 elimu kuazia form for awe mkristo na mhudhuliaji kanisani asiwe mlevi wa chochote alcohol Mimi umri 18x2– Mfanyabiashara wa kati
 
Jina: Countrywide Countrywise
Umri: 37
Kazi: Ku-bet
Elimu: Form Two
Napoishi: Mpwapwa

Lamomy kwa hii sivii kwako nafasi napata?[emoji23]

Umepita bila kupingwa ila hiyo miaka 37 ulitimiza lini? Nakumbuka ulisema una 36 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapa kuna cake ilinipita!! Sikubali nakata rufaa bday irudiwe [emoji23][emoji23]
 
Umepita bila kupingwa ila hiyo miaka 37 ulitimiza lini? Nakumbuka ulisema una 36 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapa kuna cake ilinipita!! Sikubali nakata rufaa bday irudiwe [emoji23][emoji23]
Unaharibu sasa, hapa tunaweka viwango vya juu tu[emoji23]

Wewe mbona una 24 ya kweli ila huku una 42[emoji23]

Muhimu nafasi nimepata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…