Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Unaharibu sasa, hapa tunaweka viwango vya juu tu[emoji23]

Wewe mbona una 24 ya kweli ila huku una 42[emoji23]

Muhimu nafasi nimepata

[emoji23][emoji23][emoji23]
Ushindwe me lishangazi la kwendea km wizo ake coca na babe wako
 
wanakuja pm itajaaπŸ˜‚
 

Alooooo nakuja
 
Mkaka fulani maji ya kunde mwembamba mnyarwanda kasingiziwa .

Elimu: Darasa la saba ila mwenye degree mbili anasubiri.

Kazi : kuzurura kwenye nchi kila kona ya nchi ila napata hela ya kula
Kimo: 5.7ft.

Uvaaji: surual za vitambaa kwa sana shati nyeupe au rangi yeyote ila plain, kaunda suit kwa sana tai kama kawa, kadet kwa mbaali na simple shoes.

Chakula: napenda ugali dagaa wa kukaanga , Samaki, matembele, ugali dona, maziwa mgando na matunda na makande ya mahindi na njugu mawe.

Kipato: kwa mwezi Tsh.3.5m
Usafiri:Sina gari
Nyumba nimejenga:
Urafiki wa kijinga sina
Ulevi wangu: kusoma sana habari za siasa, Technolojia, na mengineyo.
Mawasiliano: simu natumia ya mkopo kutoka Tigo
Umri miaka 30
Dini : Mkristo aliemwamini Yesu na Kuzaliwa mara pili.

Sifa za mke nimtakae

Kimo: 5ft
Rangi: yeyote
Umbo: sio mnene na asiwe mwembamba akiwa anapenda kunyoa simple fulani huyo kipaumbele.
Anaefuga kucha mirefu atanisamehe,
Dini: mkristo aliezaliwa mara pili kama wewe ni wa jumapili tu utanisamehe,
Uvaaji: Vitenge fulani vigauni virefu na vifupi ila sio sana, viatu mchuchumio mrefu na mfupi nitakununulia na raba na simple fulani og πŸ˜„ mda mwingine kisket fulani na t-shirt πŸ˜„ na raba au blouse fulani na hiv na scafu au kikoti juu hivi daah, suruali nzuri tukiwa out na mazingira mengine utavaa sana tu ila mazingira tunayoishi utanisamehe .

Karibuni jamani khaaa jf hawapo kwel
 

Aiseee
 
Mhhhh hayo maelezo ya nguo sasaaa anyway kila la heri mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…