Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Umri : 31
Elimu : shahada ( degree)
Kazi : Mtumishi wa umma
Dini : Mkristo (Lutheran)
Muonekano : Si mrefu Sana wala si mfupi, mweupe, Si mnene Wala si mwembamba
Mtoto/ watoto : Sina/sijawah kuoa
Makazi : Dsm
Kilevi : situmii
Sigara : Sivuti

Nahitaji mke mwenye vigezo vifuatavyo ;

Umri : 23- 27
Dini : Mkristo
Elimu : kuanzia kidato Cha nne
Muonekano: Mrefu, rangi yeyote, asiwe mnene/mwembamba sana awe size ya kati, asiwe flat.
Kabila: Chaga
Ndoa: Awe hajawahi kufunga ndoa
Mtoto/watoto: Asiwe nae/nao
Utayari: Awe tayar kufunga ndoa ya kikristo (kilutheri) na kuish maisha ya ndoa.

NB: Npo serious sana sbb wanawake wengi nliokutana nao hawapo tayari kwa ndoa, hivyo muda unapotea sana. Mwenye/wenye vigezo vyote wanichek pm.
 
Hadi nguo umetisha sana mkuu, all the best
 
Wanakuja wasabato wenzio, ila mpiga kinanda umetuchamba wa mataifa sijapentraaa 😂😂😂
 
Nyaghau mnanijadili hivi kweli badala ya kuzama pm🤣🤣🤣🤣🤣
Na simu yako ya mkopo kweli utaweza kuingia nayo pm kabla haijafungiwa 🤣🤣🤣maana nasikia tigo ukiwacheleweshea buku lao tu wanakuzimia simu 🤣
 
Na simu yako ya mkopo kweli utaweza kuingia nayo pm kabla haijafungiwa 🤣🤣🤣maana nasikia tigo ukiwacheleweshea buku lao tu wanakuzimia simu 🤣
Aaah weee nimelipa miezi 3 mbele sijawa mzembe kiivyo 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…