Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 3,711
- 6,762
Hhhhhh..... Kazi ipo mwambie km upo mjn daslam vitenge hamna[emoji1787]Kitenge si mchezo nmesikia Kuna offer ya raba pia [emoji28]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hhhhhh..... Kazi ipo mwambie km upo mjn daslam vitenge hamna[emoji1787]Kitenge si mchezo nmesikia Kuna offer ya raba pia [emoji28]
Yupo radhi ufanyiwe delivery ht kama upo abroad 🤣🤣Hhhhhh..... Kazi ipo mwambie km upo mjn daslam vitenge hamna[emoji1787]
Nyaghau mnanijadili hivi kweli badala ya kuzama pm🤣🤣🤣🤣🤣Yupo radhi ufanyiwe delivery ht kama upo abroad 🤣🤣
Hadi nguo umetisha sana mkuu, all the bestMkaka fulani maji ya kunde mwembamba mnyarwanda kasingiziwa .
Elimu: Darasa la saba ila mwenye degree mbili anasubiri.
Kazi : kuzurura kwenye nchi kila kona ya nchi ila napata hela ya kula
Kimo: 5.7ft.
Uvaaji: surual za vitambaa kwa sana shati nyeupe au rangi yeyote ila plain, kaunda suit kwa sana tai kama kawa, kadet kwa mbaali na simple shoes.
Chakula: napenda ugali dagaa wa kukaanga , Samaki, matembele, ugali dona, maziwa mgando na matunda na makande ya mahindi na njugu mawe.
Kipato: kwa mwezi Tsh.3.5m
Usafiri:Sina gari
Nyumba nimejenga:
Urafiki wa kijinga sina
Ulevi wangu: kusoma sana habari za siasa, Technolojia, na mengineyo.
Mawasiliano: simu natumia ya mkopo kutoka Tigo
Umri miaka 30
Dini : Mkristo aliemwamini Yesu na Kuzaliwa mara pili.
Sifa za mke nimtakae
Kimo: 5ft
Rangi: yeyote
Umbo: sio mnene na asiwe mwembamba akiwa anapenda kunyoa simple fulani huyo kipaumbele.
Anaefuga kucha mirefu atanisamehe,
Dini: mkristo aliezaliwa mara pili kama wewe ni wa jumapili tu utanisamehe,
Uvaaji: Vitenge fulani vigauni virefu na vifupi ila sio sana, viatu mchuchumio mrefu na mfupi nitakununulia na raba na simple fulani og 😄 mda mwingine kisket fulani na t-shirt 😄 na raba au blouse fulani na hiv na scafu au kikoti juu hivi daah, suruali nzuri tukiwa out na mazingira mengine utavaa sana tu ila mazingira tunayoishi utanisamehe .
Karibuni jamani khaaa jf hawapo kwel
Mkuu financial services unaendeleaje?Hadi nguo umetisha sana mkuu, all the best
Wanakuja wasabato wenzio, ila mpiga kinanda umetuchamba wa mataifa sijapentraaa 😂😂😂Mkaka fulani maji ya kunde mwembamba mnyarwanda kasingiziwa .
Elimu: Darasa la saba ila mwenye degree mbili anasubiri.
Kazi : kuzurura kwenye nchi kila kona ya nchi ila napata hela ya kula
Kimo: 5.7ft.
Uvaaji: surual za vitambaa kwa sana shati nyeupe au rangi yeyote ila plain, kaunda suit kwa sana tai kama kawa, kadet kwa mbaali na simple shoes.
Chakula: napenda ugali dagaa wa kukaanga , Samaki, matembele, ugali dona, maziwa mgando na matunda na makande ya mahindi na njugu mawe.
Kipato: kwa mwezi Tsh.3.5m
Usafiri:Sina gari
Nyumba nimejenga:
Urafiki wa kijinga sina
Ulevi wangu: kusoma sana habari za siasa, Technolojia, na mengineyo.
Mawasiliano: simu natumia ya mkopo kutoka Tigo
Umri miaka 30
Dini : Mkristo aliemwamini Yesu na Kuzaliwa mara pili.
Sifa za mke nimtakae
Kimo: 5ft
Rangi: yeyote
Umbo: sio mnene na asiwe mwembamba akiwa anapenda kunyoa simple fulani huyo kipaumbele.
Anaefuga kucha mirefu atanisamehe,
Dini: mkristo aliezaliwa mara pili kama wewe ni wa jumapili tu utanisamehe,
Uvaaji: Vitenge fulani vigauni virefu na vifupi ila sio sana, viatu mchuchumio mrefu na mfupi nitakununulia na raba na simple fulani og 😄 mda mwingine kisket fulani na t-shirt 😄 na raba au blouse fulani na hiv na scafu au kikoti juu hivi daah, suruali nzuri tukiwa out na mazingira mengine utavaa sana tu ila mazingira tunayoishi utanisamehe .
Karibuni jamani khaaa jf hawapo kwel
Naendelea vizuri mkuu, vipi wewe huko?Mkuu financial services unaendeleaje?
MashallahNaendelea vizuri mkuu, vipi wewe huko?
Lazima wasifu utimie mkuu sio unachukua mtu anavaa kama katoka kuzimuHadi nguo umetisha sana mkuu, all the best
Hapana sijawachamba mkuu ila nimesema ukweli kuwa kipi nakipenda maishani mwangu🤣🤣🤣🤣Wanakuja wasabato wenzio, ila mpiga kinanda umetuchamba wa mataifa sijapentraaa 😂😂😂
Na simu yako ya mkopo kweli utaweza kuingia nayo pm kabla haijafungiwa 🤣🤣🤣maana nasikia tigo ukiwacheleweshea buku lao tu wanakuzimia simu 🤣Nyaghau mnanijadili hivi kweli badala ya kuzama pm🤣🤣🤣🤣🤣
Huyuu hatoboi sijaona mdada wa kisabato humu jf 🤣Wanakuja wasabato wenzio, ila mpiga kinanda umetuchamba wa mataifa sijapentraaa 😂😂😂
We muache ajishebedue wa mataifa ndo tupo sasa 😂😂Huyuu hatoboi sijaona mdada wa kisabato humu jf 🤣
Hahaa mbona sijaona sifa unazozitaka ni nijipime mkuu?Mashallah
Mimi mzima, niko attention hapa
vip pengo linazibika?
Ni kweli fanya kitu roho inapenda , maana once ukishaingia kifungoni ndiyo hadi kifo kitenganishe, ukikosea ndiyi basi tenaLazima wasifu utimie mkuu sio unachukua mtu anavaa kama katoka kuzimu
KabisaaaNi kweli fanya kitu roho inapenda , maana once ukishaingia kifungoni ndiyo hadi kifo kitenganishe, ukikosea ndiyi basi tena
Aaah weee nimelipa miezi 3 mbele sijawa mzembe kiivyo 🤣🤣🤣Na simu yako ya mkopo kweli utaweza kuingia nayo pm kabla haijafungiwa 🤣🤣🤣maana nasikia tigo ukiwacheleweshea buku lao tu wanakuzimia simu 🤣
Nitatoboa kwa uweza wa Mungu Haleluyah 🤣🤣🤣Huyuu hatoboi sijaona mdada wa kisabato humu jf 🤣
Hahahahahah daah na wamataifa siwataki hata🤣🤣🤣🤣We muache ajishebedue wa mataifa ndo tupo sasa 😂😂