Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Umri : 31
Elimu : shahada ( degree)
Kazi : Mtumishi wa umma
Dini : Mkristo (Lutheran)
Muonekano : Si mrefu Sana wala si mfupi, mweupe, Si mnene Wala si mwembamba
Mtoto/ watoto : Sina/sijawah kuoa
Makazi : Dsm
Kilevi : situmii
Sigara : Sivuti

Nahitaji mke mwenye vigezo vifuatavyo ;

Umri : 23- 27
Dini : Mkristo
Elimu : kuanzia kidato Cha nne
Muonekano: Mrefu, rangi yeyote, asiwe mnene/mwembamba sana awe size ya kati, asiwe flat.
Kabila: Chaga
Ndoa: Awe hajawahi kufunga ndoa
Mtoto/watoto: Asiwe nae/nao
Utayari: Awe tayar kufunga ndoa ya kikristo (kilutheri) na kuish maisha ya ndoa.

NB: Npo serious sana sbb wanawake wengi nliokutana nao hawapo tayari kwa ndoa, hivyo muda unapotea sana. Mwenye/wenye vigezo vyote wanichek pm.
 
Mkaka fulani maji ya kunde mwembamba mnyarwanda kasingiziwa .

Elimu: Darasa la saba ila mwenye degree mbili anasubiri.

Kazi : kuzurura kwenye nchi kila kona ya nchi ila napata hela ya kula
Kimo: 5.7ft.

Uvaaji: surual za vitambaa kwa sana shati nyeupe au rangi yeyote ila plain, kaunda suit kwa sana tai kama kawa, kadet kwa mbaali na simple shoes.

Chakula: napenda ugali dagaa wa kukaanga , Samaki, matembele, ugali dona, maziwa mgando na matunda na makande ya mahindi na njugu mawe.

Kipato: kwa mwezi Tsh.3.5m
Usafiri:Sina gari
Nyumba nimejenga:
Urafiki wa kijinga sina
Ulevi wangu: kusoma sana habari za siasa, Technolojia, na mengineyo.
Mawasiliano: simu natumia ya mkopo kutoka Tigo
Umri miaka 30
Dini : Mkristo aliemwamini Yesu na Kuzaliwa mara pili.

Sifa za mke nimtakae

Kimo: 5ft
Rangi: yeyote
Umbo: sio mnene na asiwe mwembamba akiwa anapenda kunyoa simple fulani huyo kipaumbele.
Anaefuga kucha mirefu atanisamehe,
Dini: mkristo aliezaliwa mara pili kama wewe ni wa jumapili tu utanisamehe,
Uvaaji: Vitenge fulani vigauni virefu na vifupi ila sio sana, viatu mchuchumio mrefu na mfupi nitakununulia na raba na simple fulani og 😄 mda mwingine kisket fulani na t-shirt 😄 na raba au blouse fulani na hiv na scafu au kikoti juu hivi daah, suruali nzuri tukiwa out na mazingira mengine utavaa sana tu ila mazingira tunayoishi utanisamehe .

Karibuni jamani khaaa jf hawapo kwel
Hadi nguo umetisha sana mkuu, all the best
 
Wanakuja wasabato wenzio, ila mpiga kinanda umetuchamba wa mataifa sijapentraaa 😂😂😂
 
Nyaghau mnanijadili hivi kweli badala ya kuzama pm🤣🤣🤣🤣🤣
Na simu yako ya mkopo kweli utaweza kuingia nayo pm kabla haijafungiwa 🤣🤣🤣maana nasikia tigo ukiwacheleweshea buku lao tu wanakuzimia simu 🤣
 
Aaah weee nimelipa miezi 3 mbele sijawa mzembe kiivyo 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom