Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Kuna wanaotoboa kweli hapa watushawishi na sisi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Natafuta mwanamke kuoa sifa
awe mchapakazi,
awe amemaliza kidato cha sita na kuendelea, kabila lolote,

asiwe na mtoto

umri 22-29

awe na hofu ya Mungu

Sifa zangu
mimi ni 5.6 feet tall
nimeajiriwa serikalini
Sina mtoto
ni mweusi
ni mkristo
nina bachela
 
SISI tulioishia std 7 tuende wapi ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ
 
Ushampata ?
 
Natafuta mwanamke wa kumuoa
Mimi ni kijana wa miaka 29
Medical doctor
Mtumishi wa serikali
Nimejenga
Ninausafiri binafsi.
Mwanamke awe
Mpenda dini na ambae yupo tayari kwa maisha ya ndoa
 
Umri 52
Kazi Senior Dalali Mikocheni
Nahitaji mwanamke umri kuanzia 30_35 awe ana watoto wasizidi 2 Mimi wangu ni 2
Dini Yoyote
Awe mweupe hata mweusi
Awe tayari kuishi Ruangwa
 
Ngoja nitafute mume sasa ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Ila vigezo vyangu vimekaa kigubu gubu sijui km mtaweza.!!
 
Wewe ni mtu wa hovyo sana na ukiendelea nitumie picha za uume wako inbox nitakudharirisha kwa kuscreen short na kukuweka wazi humu. Mi ni mtu mzima usiniletee upuuzi wako. Zile picha mtumie marehemu mama yako.
Kumekucha ๐Ÿคฃ๐Ÿ‘†
 
Wewe ni mtu wa hovyo sana na ukiendelea nitumie picha za uume wako inbox nitakudharirisha kwa kuscreen short na kukuweka wazi humu. Mi ni mtu mzima usiniletee upuuzi wako. Zile picha mtumie marehemu mama yako.
๐Ÿ˜ณKimeumana๐Ÿ˜‚
 
Natafuta mwanamke wa kumuoa
Mimi ni kijana wa miaka 29
Medical doctor
Mtumishi wa serikali
Nimejenga
Ninausafiri binafsi.
Mwanamke awe
Mpenda dini na ambae yupo tayari kwa maisha ya ndoa
Mungu akupe hitaji la moyo wako tuseme Amen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ