fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,264
- 27,132
😂mkuuHuja wahi kuwa na akili😆😀😂, mbwa hii fundi bishoo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂mkuuHuja wahi kuwa na akili😆😀😂, mbwa hii fundi bishoo
Bishoo haswa😂😀😂mkuu
We ni ke au me??Umri:30
Elimu:stashahada
Makazi:dar
Kazi:mtumishi wa umma
Nimejenga Nyumba kubwa ina kila kitu tatizo upweke nipo naishi na mfanyakazi tu
Karibu.
SISI tulioishia std 7 tuende wapi 😭😭😭Natafuta mwanamke kuoa sifa
awe mchapakazi,
awe amemaliza kidato cha sita na kuendelea, kabila lolote,
asiwe na mtoto
umri 22-29
awe na hofu ya Mungu
Sifa zangu
mimi ni 5.6 feet tall
nimeajiriwa serikalini
Sina mtoto
ni mweusi
ni mkristo
nina bachela
mwende QTSISI tulioishia std 7 tuende wapi 😭😭😭
Ushampata ?Natafuta mchumba...
Awe anapenda kusoma vitabu sanaa.
Elimu kuanzia Form 4.
Kazi sijachagui
Kabila asiwe wa Kanda ya Ziwa.
Kipaombele Mchaga.
Umri kuanzia 35.
Asiwe na mtoto zaidi ya mmoja upendeleo awe mtoto wa kike akiwa wakiume sio mbaya japo wakiume akiwa sio mtoto wako akiwa mkubwa unawesa dundwa ukimzingua mama ake bahati mbaya.
Rangi yeyote japo mweupe napendelea.
Mimi nina kazi serikalini am Dervoced.
Umri wangu 34.
Mrefu pia mchaga.
Ninae ishi Morogoro
Hahahaaaahaaaa aaee JFWewe ni mtu wa hovyo sana na ukiendelea nitumie picha za uume wako inbox nitakudharirisha kwa kuscreen short na kukuweka wazi humu. Mi ni mtu mzima usiniletee upuuzi wako. Zile picha mtumie marehemu mama yako.
Kumekucha 🤣👆Wewe ni mtu wa hovyo sana na ukiendelea nitumie picha za uume wako inbox nitakudharirisha kwa kuscreen short na kukuweka wazi humu. Mi ni mtu mzima usiniletee upuuzi wako. Zile picha mtumie marehemu mama yako.
😳Kimeumana😂Wewe ni mtu wa hovyo sana na ukiendelea nitumie picha za uume wako inbox nitakudharirisha kwa kuscreen short na kukuweka wazi humu. Mi ni mtu mzima usiniletee upuuzi wako. Zile picha mtumie marehemu mama yako.
Nimefanyaje jaman
Mungu akupe hitaji la moyo wako tuseme AmenNatafuta mwanamke wa kumuoa
Mimi ni kijana wa miaka 29
Medical doctor
Mtumishi wa serikali
Nimejenga
Ninausafiri binafsi.
Mwanamke awe
Mpenda dini na ambae yupo tayari kwa maisha ya ndoa
😁😁😁mwende QT