Mwanamke wa mithali 31
JF-Expert Member
- Apr 10, 2024
- 1,159
- 2,577
SI unataka kulelewa au ππππ€£π€£π€£Mweeeeeh kuwa na huruma wewe .
ππππππππππππ
Hizi ndo laana sasa...
Yaan around 70+ kweli jamni.hata kama ππππππππππππππππππππ
Sio miaka 70+ sasa...SI unataka kulelewa au ππππ€£π€£π€£
Umri: 29
Elimu: Degree ya pili
Dini: Freemason
Naishi: Dodoma
Kazi: Businessman/ Mtumishi Serikalinj
Pesa ipo ya kutosha
SIFA YA MCHUMBA ANAEHITAJIKA
Umri : 23-27
Elimu: kidatu cha nne na kuendelea
Asiwe kibonge wala mwembamba
Dini: Yoyote
Kabila: Lolote
Asiwe single mother
Karibu DM ipo wazi 24hrs
Oya fundi bishoo haya makushabu sio π€£πUmri bado kijana
Makazi dar
Naishi home kwa baba kwa yyte alie tayari aje tumkodishie chumba
yess BiShoo haswaaAaa
Dah, nime knocked outAje pm
Wa kiume mrefu mweusi kiasi asiwe mwembamba
Awe anashughuli halali
Mimi si mnene si mwembamba
Si mweupe si mweusi
Elimu ndogo tu lakini naweza kujikimu
Nb. Usiwe mchaga
Washajaza seat zote mkuu, hata zile reserve zimejaa zote.Mbona wanawaje watafutaji siwaoniii
Nipo mwanza, Kipato changu 2m per month .....Kama upo serious kuolewa njoo pm....Aje pm
Wa kiume mrefu mweusi kiasi asiwe mwembamba
Awe anashughuli halali
Mimi si mnene si mwembamba
Si mweupe si mweusi
Elimu ndogo tu lakini naweza kujikimu
Nb. Usiwe mchaga
Siku hizi watu wanajiuza kama njugu, nonsense.Natafuta mwanamke anaetaka nihamie kwake..
Nitakuja na nguo zangu na viatu tu
Kitanda tutalalia chake.
Awe na nyumba nzuri mengine kama gari ,
Mazaifu yangu
Napenda mashangazi hivo asiwe analeta au kunitambulisha kwa rafiki zake.
Akiwa na watoto poa tu ,mimi sina
Awe anaishi dar ila sio mbagala
πππππ¬π¬Siku hizi watu wanajiuza kama njugu, nonsense.
Teh πSiku hizi watu wanajiuza kama njugu, nonsense.
π€£π€£π€£π€£Umri bado kijana
Makazi dar
Naishi home kwa baba kwa yyte alie tayari aje tumkodishie chumba
yess BiShoo haswaaAaa