Jina: Damaso Bingwa Mletwa
Uraia: Mtanzania
Kabila: Mhehe
Pesa: Ipo sio nyingi
Kazi: Mtaalamu wa Kanzi Data, Mifumo na Teknolojia
Dini: Christian (Flexible)
Makazi: Nyamagana, Mwanza
Elimu: Bachelor Degree
Umri: 30
Marital Status: Single
Tabia: Extrovert ila mdadisi kwa kiasi chake.
Why single: Mshua alitamani sana nione before 25 ila akakata moto sasa Bi Mkubwa anataka aone nikiwa na wajukuu. Kwa sasa room is open kwa wale single wasiozidi miaka 26.
Mahitaji: Kabila kati ya Mrangi, Msafwa, Mbulu, Nyaturu, Chagga, or makabila ya Pwani. Awe mweupe wa kutosha, kimo cha kawaida, mwili wa wastani au mwembamba. Dini: Sina kipingamizi hapo, awe Mkristo au Muislamu, safi tu.
DM Chap tuyajenge!