Wewe endelea na search hapa utapata tu au uende usukumani tu
Hahha huyo wa usukumani ndo mzuri ila maana hajawa exposed na dunia hii[emoji1787][emoji23],usukuman hapana,mwakani naenda SA kusoma,watanigongea wadau
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkioana naomba hata mwana jf1 apate mwalikoBaada ya kuleta Uzi Huku WA kuvutana ndani, napendwa kutoa mrejesho kuwa nimepata nilichokuwa nahitaji na zaidi ya matarajio, nimepata mwanamke mzuri Kwa urembo na kichwani, anajua kujali, kupenda na kuheshimu...Kwa hakika jamii forum imejua kukifurahisha......Kwa wengine ambao MNA mrejesho mnaweza kuutoa pia, Kwa hakika jamii ni kiwanda cha kila kitu. Muwe na jumapili njema.
Hahha huyo wa usukumani ndo mzuri ila maana hajawa exposed na dunia hii
Kila la heri umpate mwali wetu huyo .
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duh na hiyo picha ni wewe huyo?
😀😀 naona dunia inaenda kasi sanaaa
Ndy ila mwezi huu natoka home njoo tuyajenge tu linah
Afadhali kama si wewe maana ilikua inaleta confusions, usiku mwema Coca cola...
Ulivyouliza sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3] naona dunia inaenda kasi sanaaa
Ahasanteee dea, axubuh njema poaaaah naweeeAfadhali kama si wewe maana ilikua inaleta confusions, usiku mwema Coca cola...
Mkuu, huyo umempata humu humu jf? Hongera sana kumbe wapo eeh, ngoja niandae CV pia
Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya kuleta Uzi Huku WA kuvutana ndani, napendwa kutoa mrejesho kuwa nimepata nilichokuwa nahitaji na zaidi ya matarajio, nimepata mwanamke mzuri Kwa urembo na kichwani, anajua kujali, kupenda na kuheshimu...Kwa hakika jamii forum imejua kukifurahisha......Kwa wengine ambao MNA mrejesho mnaweza kuutoa pia, Kwa hakika jamii ni kiwanda cha kila kitu. Muwe na jumapili njema.
Unapenda mama wa nyumbani mkuu? Duh