Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Baada ya kuleta Uzi Huku WA kuvutana ndani, napendwa kutoa mrejesho kuwa nimepata nilichokuwa nahitaji na zaidi ya matarajio, nimepata mwanamke mzuri Kwa urembo na kichwani, anajua kujali, kupenda na kuheshimu...Kwa hakika jamii forum imejua kukifurahisha......Kwa wengine ambao MNA mrejesho mnaweza kuutoa pia, Kwa hakika jamii ni kiwanda cha kila kitu. Muwe na jumapili njema.
Mkioana naomba hata mwana jf1 apate mwaliko
 
Umri 29
Makazi Katavi
Elimu standard 2
Kazi kibaka/mpiga nondo
Gari sina
Carrier- Ninambio sana ninakimbia umbali
pindi raia wakinikimbiza
Natafuta mchumba awe na umri wa miaka 19-24, awe bikra, mwembamba kiasi, mweupe sio kama papai.
Elim yake awe na degree of Nursing.
Dini- Christian
NB:Awe mchamungu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani.
Nilikuwa nasubiri uje ndo basi tena umewahiwa.

Back
Top Bottom