FirstClass
JF-Expert Member
- Dec 29, 2016
- 1,100
- 1,363
Hahahaa.. haiwezekani kiongozi... Huwa napenda kuishi maisha ya uhalisia na si kuigiza
Kuwa smart... Nipo smart ni tabia yangu... Lakini si kwa kuvaa macheni ama bangili mkononi... Ama t-shirt za kubana... Na gym sijawahi kwenda na sina huo mpango... Si miongoni mwa mwenendo wa maisha yangu... Na ndio maana nikasema siwezi kuishi maisha ya hivyo... Ni sawa na kuigiza maisha kwanguKwenda gym n kuigiza[emoji23][emoji23]
Kuwa smart ni kuigiza[emoji23][emoji23]
Aisee..
Sent using Jamii Forums mobile app
kubwa, Nimeshatongoza.. ila hawaeleweki.. nyodo nyingi, maringo na utoto utoto
Kuwa smart... Nipo smart ni tabia yangu... Lakini si kwa kuvaa macheni ama bangili mkononi... Ama t-shirt za kubana... Na gym sijawahi kwenda na sina huo mpango... Si miongoni mwa mwenendo wa maisha yangu... Na ndio maana nikasema siwezi kuishi maisha ya hivyo... Ni sawa na kuigiza maisha kwangu
Tatizo la watu kwenye huu uzi hawapo serious kabisa,
Masihara Mengi mno
Sent using Jamii Forums mobile app
Umri bado kijana
Makazi dar
Naishi home kwa baba kwa yyte alie tayari aje tumkodishie chumba
yess BiShoo haswaaAaa
Sawa kiongozi nimekuelewaDogo nani kakwambia uvae macheni na mabangili..
Af ukifanya mazoezi automatically tshirt ztabana..
Sasa nmelewa kwa nn unapishana na watoto wa ndalichako.
Kaa hivyo hivyo na ujinga wako.
Unaambiwa hivi, we unajib vilee..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwamba kanenaHabari wanajamvi hususani wanawake mlio singo na mnahitaji mwenza/mme wa maisha. Nami nimehamasika kuja uwanja huu kwani nimepata shuhuda kadhaa za waliofanikiwa kupata wenza humu jamvini.
Kiufupi nina kiu kubwa sana ya kupata mke kwa ajili ya kuanzisha na kuendeleza familia. Nishajipanga kimaisha na kisaikolojia.
Nina akili timamu na ninafahamu kuwa mwenza wa maisha anapatikana popote pale, tena nawashukuru waliotuletea platfom hii kutusaidia sisi ambao hatupati fursa hizi sehemu nyingine kwa sababu mbalimbali.
WASIFU WANGU
Jinsia; Me
Umri; Miaka 34
Kazi; Nimejiajiri pia nimeajiriwa
Elimu; Masters in Finance and Investment
Dini; Mkristo LC
Makazi; Dar Es Salaam
Mengineyo
Nina mwili wa wastani mrefu kiasi kimo futi 5 inchi 10, uzito kg 72. Sura ya kawaida na nina bald head( uwalaza)
Ni husband material kwa kwel, napenda sana familia, kujituma na kuwekeza ili kujiletea maendeleo
WASIFU WA NINAEMHITAJI
1. Umri awe miaka 25-30
2. Elimu angalau diploma
3. Kazi; Awe ameajiriwa/Kujiajiri. Ila hata kama hana kazi kwa sasa, nitamtafutia shughuli ya kufanya maana naamini katika kazi.
4. Dini; Napenda awe mkristo hususani dhehebu la LC, RC, au pentecoste
5.Makazi; Dsm, au awe tayari kuja kuishi Dsm
6.kabila; napendelea zaidi wa nyanda za juu kusini maana mmi ndio napotokea.
7. Awe na umbo la wastani, kama ni mnene asiwe mnene kupita kiasi
Mengineyo
Napenda mwanamke anaejitambua na anaejua wajibu wake kama mama wa familia
Napenda mwenye kiu ya maendeleo, asiwe mtu wa tamaa.
Napenda pia awe mshauri na mwenye kuona mbali kupitia ya leo(mwenye maono)
Nawakaribisha wenye nia. Karibuni
MAWASILIANO; PM YANGU IPO WAZI HADI NITAKAPOFANIKIWA
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakikisha umefunga mkanda kabla ya kuanza safari asanteWasifu wangu kwa ufupi sana
Mimi: kijana wa kiume
Umri: miaka 26
Dini: Muislamu
Mwanafunzi wa chuo
Mahali: Morogoro
Inawezekana kabisa from zero to hero, uwanafunzi usikuvunje moyo
Karibu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio domo zege huyu nahisi maisha baada ya kutongoza na kukubaliwa Yana mshindaHahaha.. dogo hapo chuoni hujaona warembo ama ndio udomo zege unakusumbua
Sent using Jamii Forums mobile app
Dadek, kweli binadamu tunatofautianaKudaka madent wa kichuo chuo fanya haya..
Nenda gym upanue kakifua na kamkono..
Tafuta tshirt plane black na white. Modo kazaa piaa zihusike..
Nunua saa na cheni mbili tatu.
Punguza ujuaji. Acha kutongoza tongoza hovyo..
Punguza rundo la marafiki. Angalau frinds wa disc wanatosha
Wikend nenda pub zilizopo maeneo ya chuo.
Utakuja kunipa mrejesho..
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiwaze mdogo wangu ipo siku utakutana na ubavu wako kuwa na subiraDah... Bahati mbaya sana sana tena sana... Mimi si mdau wa hayo mambo hata kidogo
Kuvaa micheni ndio usmart? Excuse meKwenda gym n kuigiza[emoji23][emoji23]
Kuwa smart ni kuigiza[emoji23][emoji23]
Aisee..
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante Sana ndugu yanguUsiwaze mdogo wangu ipo siku utakutana na ubavu wako kuwa na subira
Ni kuwa msafi, vaa nguo inayokukaa vizuri, pangilia vizuri mavazi na kama ni ya kupiga pasi hakikisha umefanya hivyo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]wee mpuuz umenivunja mbavu ,kwel bishoo
Ahahah vyte ninavyo, urefu tu ndy tatizo loooh!!!. tushks nfs.Umri : 31
Kazi : Mwajiliwa serikalini
Elimu : Degree holder
Dini : Roman Catholic
Wasifu wangu: Mrefu,Mtanashati.
Jinsi:Me
Anayetafutwa:
Umri:23-27
Kazi:Mwajiliwa/ Mjasiliamali
Elimu:Kuanzia kidato cha 6 mpk University
Dini:R.C
Wasifu:Awe mrefu,rangi yeyote,anayejipenda,chura itakuwa (added advantage), awe mwelewa mwenye akili ya maisha.
Awe tayari kupima magonjwa yote hatarishi.
Kama uko tayari karibu Inbox
Sent using Jamii Forums mobile app