Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Kwenda gym n kuigiza[emoji23][emoji23]

Kuwa smart ni kuigiza[emoji23][emoji23]

Aisee..

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwa smart... Nipo smart ni tabia yangu... Lakini si kwa kuvaa macheni ama bangili mkononi... Ama t-shirt za kubana... Na gym sijawahi kwenda na sina huo mpango... Si miongoni mwa mwenendo wa maisha yangu... Na ndio maana nikasema siwezi kuishi maisha ya hivyo... Ni sawa na kuigiza maisha kwangu
 
Dogo nani kakwambia uvae macheni na mabangili..

Af ukifanya mazoezi automatically tshirt ztabana..

Sasa nmelewa kwa nn unapishana na watoto wa ndalichako.

Kaa hivyo hivyo na ujinga wako.

Unaambiwa hivi, we unajib vilee..
Kuwa smart... Nipo smart ni tabia yangu... Lakini si kwa kuvaa macheni ama bangili mkononi... Ama t-shirt za kubana... Na gym sijawahi kwenda na sina huo mpango... Si miongoni mwa mwenendo wa maisha yangu... Na ndio maana nikasema siwezi kuishi maisha ya hivyo... Ni sawa na kuigiza maisha kwangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wanajamvi hususani wanawake mlio singo na mnahitaji mwenza/mme wa maisha. Nami nimehamasika kuja uwanja huu kwani nimepata shuhuda kadhaa za waliofanikiwa kupata wenza humu jamvini.

Kiufupi nina kiu kubwa sana ya kupata mke kwa ajili ya kuanzisha na kuendeleza familia. Nishajipanga kimaisha na kisaikolojia.

Nina akili timamu na ninafahamu kuwa mwenza wa maisha anapatikana popote pale, tena nawashukuru waliotuletea platfom hii kutusaidia sisi ambao hatupati fursa hizi sehemu nyingine kwa sababu mbalimbali.

WASIFU WANGU
Jinsia; Me
Umri; Miaka 34
Kazi; Nimejiajiri pia nimeajiriwa
Elimu; Masters in Finance and Investment
Dini; Mkristo LC
Makazi; Dar Es Salaam

Mengineyo
Nina mwili wa wastani mrefu kiasi kimo futi 5 inchi 10, uzito kg 72. Sura ya kawaida na nina bald head( uwalaza)

Ni husband material kwa kwel, napenda sana familia, kujituma na kuwekeza ili kujiletea maendeleo


WASIFU WA NINAEMHITAJI

1. Umri awe miaka 25-30
2. Elimu angalau diploma
3. Kazi; Awe ameajiriwa/Kujiajiri. Ila hata kama hana kazi kwa sasa, nitamtafutia shughuli ya kufanya maana naamini katika kazi.
4. Dini; Napenda awe mkristo hususani dhehebu la LC, RC, au pentecoste
5.Makazi; Dsm, au awe tayari kuja kuishi Dsm
6.kabila; napendelea zaidi wa nyanda za juu kusini maana mmi ndio napotokea.
7. Awe na umbo la wastani, kama ni mnene asiwe mnene kupita kiasi

Mengineyo
Napenda mwanamke anaejitambua na anaejua wajibu wake kama mama wa familia

Napenda mwenye kiu ya maendeleo, asiwe mtu wa tamaa.

Napenda pia awe mshauri na mwenye kuona mbali kupitia ya leo(mwenye maono)


Nawakaribisha wenye nia. Karibuni


MAWASILIANO; PM YANGU IPO WAZI HADI NITAKAPOFANIKIWA

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwamba kanena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kudaka madent wa kichuo chuo fanya haya..

Nenda gym upanue kakifua na kamkono..

Tafuta tshirt plane black na white. Modo kazaa piaa zihusike..

Nunua saa na cheni mbili tatu.

Punguza ujuaji. Acha kutongoza tongoza hovyo..

Punguza rundo la marafiki. Angalau frinds wa disc wanatosha

Wikend nenda pub zilizopo maeneo ya chuo.

Utakuja kunipa mrejesho..

Sent using Jamii Forums mobile app
Dadek, kweli binadamu tunatofautiana
 
Umri:kijana saafi
Jinsia:me
Kazi:huwa inategemea Na tenda/soko la dunia/kazi zitakavyotoka maana Nina ujuzi,uwezo Na maarifa
Dini:mungu yupo tupambane ila njia ninayopambana nayo Ni ukristo
mahali niishipo sasa:mwanga KLM
Cont 0717391502
 
Umri : 31
Kazi : Mwajiliwa serikalini
Elimu : Degree holder
Dini : Roman Catholic
Wasifu wangu: Mrefu,Mtanashati.
Jinsi:Me

Anayetafutwa:
Umri:23-27
Kazi:Mwajiliwa/ Mjasiliamali
Elimu:Kuanzia kidato cha 6 mpk University
Dini:R.C
Wasifu:Awe mrefu,rangi yeyote,anayejipenda,chura itakuwa (added advantage), awe mwelewa mwenye akili ya maisha.
Awe tayari kupima magonjwa yote hatarishi.
Kama uko tayari karibu Inbox


Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahah vyte ninavyo, urefu tu ndy tatizo loooh!!!. tushks nfs.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom