Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Hebu turudi kwenye mada, hivi utakuwa bachelor sugu mpaka lini eti
Upweke mbaya sana Khantwe yaani imagine mm na ww tunawanga na usiku huu mnene tukipeana kampani.Amini kabisa sio mm wala ww aliyekula chakula cha usiku leo hii maana mijicho yetu mikavuuu..

Hili la mpaka lini tuulizane wote maana tunaugua ugonjwa mmoja ila shida zaidi ni kutokuwa seriois lakini kuchagua chagua sana na zaidi ya yote wengine humu kubebishana na watu wasiokuwepo au wasio halisi..Mi ndo maana sitaki kumbebisha mtu humu maana tunatiana magundu tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utaisha pale tu tutakapoamua kuwa uishe,ila shida ni hii bahari nyeusi ya JF haki ya nani yaana unaweza kukomaa na mtu ukaja mkibia kimyakimya ukawa umemuumiza kisaikolojia na poa unaweza mkwepakwepa mtu ukawa umekwepa fuko la dhahabu hii ndio shida zaidi..

Lakini mbaya zaidi kuna hawa wapinga kristo kuwa huwezi pata mke/mume huku mitandaoni ss sijui hawa waliomo humu wanaishi Mars!!!basi na sie wafata mkumbo tunameza tu ideology zao na kuanza kufanya mizaha wakati wengi tu tuna shida hiii kidhat kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: amu
Hahaha aisee, kubebishana ni njiaojawapo ya kuondoa upweke you know. Usijione kama unafanya makosa kwa kuwa mchaguaji, of course ni lazima uchague...kumbuka unatafuta mtu ambae utashea nae kitanda for the rest of your life, ni lazima uwe makini eti...usije ukajikuta umekaribisha kapepo nyumbani matokeo yake ukaishi maisha mafupi au marefu yenye majuto
 
Kuchagua hilo ht mm naliunga mkono halijwepeki sema humu shida ni kutofahamiana yaani naamini km kungekuwa kunawekwa picha halisi kwenye kutoa haya matangazo yetu haki ya mama yaani kuna watu wangegombaniwa mpaka kwa waganga humu watu wangeenda[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahahaha dah, vigezo vizuri ivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha ni kweli
 
Mida yangu ya kulala inefika na kuamka ni saa7 mchana,ningependa kuendelea na mada na ww sema kuna kufuli kubwa mlangoni kwako sijui kuna wezi wanakusumbua!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Haya boss usingizi mwema, ukiamka urudi hapahapa tuendelee. Mlango wangu umeharibika ndio maana nimeamua kuutia kufuli
 
We unataka kulelewa au[emoji23][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah kazi ipo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatimaye wafupi weusi tumepata mkombozi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…