bachelor sugu
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 2,689
- 3,646
Sasa humuoni alivyonuna lakini?Eti zizi la ng'ombe lol[emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa humuoni alivyonuna lakini?Eti zizi la ng'ombe lol[emoji16][emoji16]
Hebu turudi kwenye mada, hivi utakuwa bachelor sugu mpaka lini eti
Upweke mbaya sana Khantwe yaani imagine mm na ww tunawanga na usiku huu mnene tukipeana kampani.Amini kabisa sio mm wala ww aliyekula chakula cha usiku leo hii maana mijicho yetu mikavuuu..Hebu turudi kwenye mada, hivi utakuwa bachelor sugu mpaka lini eti
Hahaha aisee, kubebishana ni njiaojawapo ya kuondoa upweke you know. Usijione kama unafanya makosa kwa kuwa mchaguaji, of course ni lazima uchague...kumbuka unatafuta mtu ambae utashea nae kitanda for the rest of your life, ni lazima uwe makini eti...usije ukajikuta umekaribisha kapepo nyumbani matokeo yake ukaishi maisha mafupi au marefu yenye majutoUpweke mbaya sana Khantwe yaani imagine mm na ww tunawanga na usiku huu mnene tukipeana kampani.Amini kabisa sio mm wala ww aliyekula chakula cha usiku leo hii maana mijicho yetu mikavuuu..
Hili la mpaka lini tuulizane wote maana tunaugua ugonjwa mmoja ila shida zaidi ni kutokuwa seriois lakini kuchagua chagua sana na zaidi ya yote wengine humu kubebishana na watu wasiokuwepo au wasio halisi..Mi ndo maana sitaki kumbebisha mtu humu maana tunatiana magundu tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahaha dah, vigezo vizuri ivyoUmri - 29-34
Elimu -Degree ya mtaani
Dini - Mkristo
Rangi - Mweusi tii
Umbo - Miraba minne
Kazi - Kujiajiri na kuajiriwa
NINAYEMUHITAJI
umri - 22-27
Elimu - ajue kusoma na kuandika
Dini - mkristo atapendeza zaidi
Rangi - nyeusi tii narudia tena nyeusi tii
Umbo - awe mfupi kipotabo
Kazi - asiye na ajira
Kigezo cha muhimu kuliko vyote awe ametokea ukanda wa pwani..mwenye sifa hii atapata kipaumbele cha kuweka ndani mapema..pia aliyeshindikana mtaani yaani wale wanawake wajeuri, watukutu kila aina ya balaa wameshapitia
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha ni kweliKuchagua hilo ht mm naliunga mkono halijwepeki sema humu shida ni kutofahamiana yaani naamini km kungekuwa kunawekwa picha halisi kwenye kutoa haya matangazo yetu haki ya mama yaani kuna watu wangegombaniwa mpaka kwa waganga humu watu wangeenda[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mida yangu ya kulala inefika na kuamka ni saa7 mchana,ningependa kuendelea na mada na ww sema kuna kufuli kubwa mlangoni kwako sijui kuna wezi wanakusumbua!!!Hahaha ni kweli
Haya boss usingizi mwema, ukiamka urudi hapahapa tuendelee. Mlango wangu umeharibika ndio maana nimeamua kuutia kufuliMida yangu ya kulala inefika na kuamka ni saa7 mchana,ningependa kuendelea na mada na ww sema kuna kufuli kubwa mlangoni kwako sijui kuna wezi wanakusumbua!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
We unataka kulelewa au[emoji23][emoji3][emoji3][emoji3]Umri: 25
Elimu: form six nilifeli
Kazi: mtumishi serikalin
Dini: muslim
Urefu: 5'7ft
Uzito: 70
Mwembamba
Hela ipo
Mahitaji:
Baby mama
Asiwe mnene
Awe mweupe
Awe anatazamika
Hela iwepo
Awe mikoa mmojawapo mwanza,kigoma,kagera,shinyanga na katavi
Uwezo wa bao tano kwa day
Wenye pesa watapewa kipaumbele
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah kazi ipoUmri :28
Kazi: Mfugaji
Mahara:Tarime
Elimu :tangu mvua iliponyesha kubwa nikawa nimemariza hivyo
Sababu: Nirie kuwa naye alikuwa ananipikia dagaa Mimi naacha era ya nyama Nika mgecha na taraka juu nataka mwingine g'ombe za mahari zipo nyingi masharti ajue kupika nyama asiziunguze na nisirare njaa
Nimekubamba eenheeee unafanya nn huku kwa watu wanaovutana ndani???
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahaNikuulize wewe una wawili lakini bado unajiita bachelor? Halafu siku hizi umekuwa mchoyo nilikuuliza ishu fulani kwa sms hukunjibu si, jui unataka nife njaa.
Aisee bado mkuu
Hahahaha
Umri - 29-34
Elimu -Degree ya mtaani
Dini - Mkristo
Rangi - Mweusi tii
Umbo - Miraba minne
Kazi - Kujiajiri na kuajiriwa
NINAYEMUHITAJI
umri - 22-27
Elimu - ajue kusoma na kuandika
Dini - mkristo atapendeza zaidi
Rangi - nyeusi tii narudia tena nyeusi tii
Umbo - awe mfupi kipotabo
Kazi - asiye na ajira
Kigezo cha muhimu kuliko vyote awe ametokea ukanda wa pwani..mwenye sifa hii atapata kipaumbele cha kuweka ndani mapema..pia aliyeshindikana mtaani yaani wale wanawake wajeuri, watukutu kila aina ya balaa wameshapitia
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahaha hiyo kushindikana mtaani ndiyo umenifurahisha. Karibu sana.
Hahahaha, fursa hiiHatimaye wafupi weusi tumepata mkombozi.