Nimechagua kumuamini [emoji16][emoji16] kama huna wake hao wawili basi ana sababu nyingine ya msingiMaana mi nimeamka mapema sababu yako si unakumbuka usiku nilikwambia huwa naamka saa ngapi,ila nimewahi kwa ajili yako halafu tena huyo shosti yako kaja kuvuruga na ww umemuamini
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwenye sababu nyingine nami naweza afiki japo ss sijui ni ipi but all in all im not proud to b a bachelor kwa sasa so let me continue with my struggle to get out of this ststusNimechagua kumuamini [emoji16][emoji16] kama huna wake hao wawili basi ana sababu nyingine ya msingi
Ahahah afu ukawa ww ss
Mtaani nimechoka kutafuta nataka kujaribu na huku
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila la heri katika harakati za kupata ubavu wakoHapo kwenye sababu nyingine nami naweza afiki japo ss sijui ni ipi but all in all im not proud to b a bachelor kwa sasa so let me continue with my struggle to get out of this ststus
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwenye sababu nyingine nami naweza afiki japo ss sijui ni ipi but all in all im not proud to b a bachelor kwa sasa so let me continue with my struggle to get out of this ststus
Sent using Jamii Forums mobile app
Maana mi nimeamka mapema sababu yako si unakumbuka usiku nilikwambia huwa naamka saa ngapi,ila nimewahi kwa ajili yako halafu tena huyo shosti yako kaja kuvuruga na ww umemuamini
Sent using Jamii Forums mobile app
Maliza kula tu uje uchafue mpaka kieleweke maana leo ndo umeamua iwe hivyo mpaka unanipeperushia njiwa wangu na siku nikikutana na ww sijui utanibebea ya ukubwa gani tall mie.Sasa nina sababu gani rafiki? Yaani leo mpaka unaona mie nina sababu binafsi.
Ngoja nimalize kulia kwanza.
We dada hv leo umekula maharage ya wapi lakini???Khaaaaaaa jamani wewe kaka ni muongo uamke mapema wapi? Wakati hulalagi usiku ni mlinzi katika kampuni be.
Namimi nahitaji mwanaume wa kuzaa nae mtoto wa 2 maana nina mtoto mmoja.
Jina:Miminimama.
Umri:30.
Location😀SM
Dini😛entecoste.
Rangi:Black fulani hivi.
Si mnene si mwembamba.
Miminimama nina mtoto mmoja, natafuta mume miaka 30 na kuendelea awe amejiajiri au kuajiriwa.
Mimi nimejiajiri na ninajitegemea naishi mwenyewe na mtoto wangu.
Zaidi tujuane pm
Hivi Kuna watu wanatafita wachumba. Kutokana na elimu zao?Ngoja kwanza nikaandae CV maana naona watu wamejioanga,hii standard 7 niitengenezee CV mpaka ieleweke vizuri kabisa
Soma hapo juu utaona namna CV nilivyo,it means elimu nimoja ya sifa