Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Nimechagua kumuamini [emoji16][emoji16] kama huna wake hao wawili basi ana sababu nyingine ya msingiMaana mi nimeamka mapema sababu yako si unakumbuka usiku nilikwambia huwa naamka saa ngapi,ila nimewahi kwa ajili yako halafu tena huyo shosti yako kaja kuvuruga na ww umemuamini
Sent using Jamii Forums mobile app