Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Ngoja kwanza nikaandae CV maana naona watu wamejioanga,hii standard 7 niitengenezee CV mpaka ieleweke vizuri kabisa
 
  • Thanks
Reactions: amu
Vigezo mke ninayemtaka.
Umri:miaka 22-28.
Dini:Muislamu.
Elimu: kuanzia f.four na kuendelea.
Asiwe na mtoto.

Mimi;
Jinsia: Mwanaume
Umri:miaka 30.
Dini:Muislamu.
Elimu: chuo kikuu.
Sina mtoto.

Karibuni PM.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa nina sababu gani rafiki? Yaani leo mpaka unaona mie nina sababu binafsi.
Ngoja nimalize kulia kwanza.
Maliza kula tu uje uchafue mpaka kieleweke maana leo ndo umeamua iwe hivyo mpaka unanipeperushia njiwa wangu na siku nikikutana na ww sijui utanibebea ya ukubwa gani tall mie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: amu
Khaaaaaaa jamani wewe kaka ni muongo uamke mapema wapi? Wakati hulalagi usiku ni mlinzi katika kampuni be.
We dada hv leo umekula maharage ya wapi lakini???

Ss walinzi si wanalala mchana au lindo huwa linafika hadi mchana???

Ss kazi nakuachia na ole wako Khantwe nimkose nakwambia utanijua kipindi nilipokuwa msumbufu nilifanikiwa vp ktk utukutu wangu.

Nakuahidi kila siku nitakuwa nakugonga sms moja ya salamu ya mambo halafu natuma kama 800 hv yaaninkila ukifuta zinaingia tu mambo vp mpaka uhakikishe Khantwe amekuwa wangu ama la sivyo ujiandae Khantwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: amu
Age: 20_26
urefu; 175cm
colour: Btn black and white
Elimu: higher Diploma
Kazi ; Niko na my business
Makazi: Dodoma
I need One serious too
Kigezo awe tu mtu mwenye kiu ya mafankio..
Sura najua majaliwa ila isiwe ile ambayo n personal
am serious



Betrayal is the choice not behavior[emoji682]
 
Nimekuita mrembo
Jina:Miminimama.
Umri:30.
Location😀SM
Dini😛entecoste.
Rangi:Black fulani hivi.
Si mnene si mwembamba.
Miminimama nina mtoto mmoja, natafuta mume miaka 30 na kuendelea awe amejiajiri au kuajiriwa.
Mimi nimejiajiri na ninajitegemea naishi mwenyewe na mtoto wangu.
Zaidi tujuane pm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja na mimi niandae Wasifu wangu.Who knows??pengine mchumba na hatimaye mke yupo humu ndani
 
Awe mwanamke umri kuanzia30 _50 awe amefiwa na mume ilinimfanyie nusra sio vibaya akiwa anajiweza mimi nipo dar umri 38 awe muislam kama sio mwislam awe tayari kubadili dini Nina familia na watoto 3 karibuni pm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umri : 24
Kazi : pharmacia + fundi kushona nguo za kike
Elimu : diploma
Dini : ISLAMIC
Wasifu wangu: Mrefu, mwili wa wastani, brown in colour.
Jinsi:Me

Anayetafutwa:
Umri:22-27
Kazi:Mwajiliwa/ Mjasiriamali/asie na kazi
Elimu:Kuanzia form 4 and above
Dini: ISLAMIC
Wasifu: awe mwembamba au wa wastani,rangi yeyote, awe muongeaji au anaweza kuongea pindi akiwa ameona tatizo, awe mwelewa mwenye akili ya maisha.
Awe tayari kupima magonjwa yote hatarishi.
Kama uko tayari karibu PM au kweny email swaleh.hemed75@gmail.com

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom