Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

hivi humu hakuna wambulu? wanyaturu? wataturu? wairaq? wale warembo wenye figure namba 8, na urefu kama twiga?

zile rangi za mtume kutoka singida, dodoma, manyara, arusha?

napenda sana nipate shombe shombe nimix na hii rangi yangu ya coca jamani damn.

aliye tayari agonge like au aje pm nimpe nauli tuvutane ndani chapchap
 
Umri:30
Elimu:stashahada
Makazi:dar
Kazi:mtumishi wa umma
Nimejenga Nyumba kubwa ina kila kitu tatizo upweke nipo naishi na mfanyakazi tu
Karibu.
😀😀😀mfanyakazi tu
 
Vipi huko pm wqmekuja au??
 
HABARI ZA HUMU NDANU
Mimi ni kijana mtanzania na nipo siriaz ktk hili nahitaji mchumba amabe ntafunga nae ndoa wasifu wngu ni wakawaida tu

naishi nyumba ya kupanga
kazi :dereva kwa ujumla piki piki na malori
umri: 25
rangi :mweusi mnene kiasi(yaani nna afya)
dini :muislam safi kabisa.
NAWASILISHA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hyo bodaboda yako au ya tajiri?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umri:33
Dini:Christian
Kazi😛ublic service
Makazi😀ar(ila kikazi mbeya)

Nahitaji binti ambaye later on twaweza kuwa familia mwenye 24-26 years..Elimu kuanzia form 4..Rangi mweupe..PM kwa maelezo zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah weupe umenikosha mke
Ubaguzi wa rangi huu lakini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…