sjosh4
JF-Expert Member
- Apr 10, 2020
- 888
- 941
Sawa mama basi wote tusameheaneWala hujanikwaza, mimi ndyo nimekukwaza na hizo sarcastic ulizoziona🤷♂️, sorry
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mama basi wote tusameheaneWala hujanikwaza, mimi ndyo nimekukwaza na hizo sarcastic ulizoziona🤷♂️, sorry
And vice versa is true eeh, okayAhahaha, haya mama asante, but naona you're too good for me, thanks thou
Sawa Baba ,uwe na wakati mwema.Sawa mama basi wote tusameheane
Uwe na wknd njemaSawa Baba ,uwe na wakati mwema.
nipo tayari namba zangu ni 0718616236Umri:30
Elimu:stashahada
Makazi:dar
Kazi:mtumishi wa umma
Nimejenga Nyumba kubwa ina kila kitu tatizo upweke nipo naishi na mfanyakazi tu
Karibu.
😀😀😀mfanyakazi tuUmri:30
Elimu:stashahada
Makazi:dar
Kazi:mtumishi wa umma
Nimejenga Nyumba kubwa ina kila kitu tatizo upweke nipo naishi na mfanyakazi tu
Karibu.
Vipi huko pm wqmekuja au??hivi humu hakuna wambulu? wanyaturu? wataturu? wairaq? wale warembo wenye figure namba 8, na urefu kama twiga?
zile rangi za mtume kutoka singida, dodoma, manyara, arusha?
napenda sana nipate shombe shombe nimix na hii rangi yangu ya coca jamani damn.
aliye tayari agonge like au aje pm nimpe nauli tuvutane ndani chapchap
Una hela lakini?Awe mwanamke umri kuanzia30 _50 awe amefiwa na mume ilinimfanyie nusra sio vibaya akiwa anajiweza mimi nipo dar umri 38 awe muislam kama sio mwislam awe tayari kubadili dini Nina familia na watoto 3 karibuni pm
Sent using Jamii Forums mobile app
😁😁
hawajaja mkuu vp kuna plan B?Vipi huko pm wqmekuja au??
Hyo bodaboda yako au ya tajiri?HABARI ZA HUMU NDANU
Mimi ni kijana mtanzania na nipo siriaz ktk hili nahitaji mchumba amabe ntafunga nae ndoa wasifu wngu ni wakawaida tu
naishi nyumba ya kupanga
kazi :dereva kwa ujumla piki piki na malori
umri: 25
rangi :mweusi mnene kiasi(yaani nna afya)
dini :muislam safi kabisa.
NAWASILISHA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole, kwani unaumwa mkuu?😪
Dah weupe umenikosha mkejamani eh mtaani bla bla nyingi, bora hapa tunaenda direct kwenye vigezo na sifa tuzitakazo.
Age:23
Dini: Muislam (mchamungu)
kazi: self employed
status:single, sina mtoto
Mwenza naemuhitaji(awe tayari kuoa. Matured man indeed)
-muislam
-age kuanzia 30-35
-mwajiriwa/mwenye kipato halali.
-black Na mwili wa wastani usiwe kibonge sana.
Mengine tutajuzana pm, karibuni.