Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Nashukuru sana tena kwa mara nyingine
Lakin mkuu ngoja nione watakaponipangia, nitakuja tena tuongee!

Kuhusu cost comparison, nitalifanyia kazi hili suala maana Dar kuna kupanda gari hata mara 2 mpaka ufike site

Umenifadhili sana boss wangu!

Mungu azidi kukupa moyo wa kusaidia!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Usisahau kumbebea japo samaki wa 20000 mkuu
 
jamani eh mtaani bla bla nyingi, bora hapa tunaenda direct kwenye vigezo na sifa tuzitakazo.
Age:23
Dini: Muislam (mchamungu)
kazi: self employed
status:single, sina mtoto

Mwenza naemuhitaji(awe tayari kuoa. Matured man indeed)
-muislam
-age kuanzia 30-35
-mwajiriwa/mwenye kipato halali.
-black Na mwili wa wastani usiwe kibonge sana.
Mengine tutajuzana pm, karibuni.
Nilitaka kuingia chimbo , nimeahirisha, tayari nimeshapata Mke hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naanza kuwa na wasiwasi na national board of statistics.
Wanasema wanawake ni wengi kuliko wanaume, ila humu kila anayeshusha cv ni mwanaume
Wadada humu wote wameolewa ama
 
Natafuta mwenza wa kuishi nae wasifu wangu ni

1) Mfupi mweusi

2) kazi yangu mfyatua matofali nimeajiliwa sehemu

3) sina nyumba nimepanga chumba kimoja

4) Naishi Dar

5) Umri wangu 30+

5) Nina kibamia

Mdada aliye tayari karibu inbox umri wako usizidi miaka 27


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom