Gentlewoman
Senior Member
- Aug 13, 2018
- 191
- 389
[emoji124][emoji124]sina barakoa[emoji40]Na pia Complex kama Corona virus,
Nipo[emoji41][emoji41]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji124][emoji124]sina barakoa[emoji40]Na pia Complex kama Corona virus,
Nipo[emoji41][emoji41]
Naaam babyMy babe hii combination ya mpole,mcheshi,mkali duh[emoji3][emoji3]
Aisee, nimekuelewa babe, sitokuvuruga asilani😛Naaam baby
Me mpole(sababu wazazi na ndugu hisema hivyo kuliko wote kwenye familia)
Mcheshi ndio tena Sana
Mkari hadi univulugeeeeeeeeeeeeee(yaani ukaiuze iletoyota yetu weeeeeeee)
Ai lavu yuuuuuAisee, nimekuelewa babe, sitokuvuruga asilani[emoji14]
Love you moree beibeAi lavu yuuuuu
Ndio kidogo tuumri mdogo??
Mchagua umri sio muoajiiiii[emoji3][emoji3][emoji3]23??? 23??? Umri mdogo sana!!
Hueleweki unaandika Kwa ajili ipiHaya kuwadi Maganga........ Ndio kama sio kuwadi basi wewe utakuwa punga .....kwani wewe utaki jinsia ziwasiliane......maana kama ukimwi hata wewe hapo unao[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1666]nimekupataMume wa miaka 23 kibongo bongo mbona bado mdogo sana, hata kiakili anakua hajakomaa vizuri kuhandle majukumu ya nyumba
Rudia nyuma yangu...watu hawako sawa,ukomavu wa mwanamke au mwanaume inategemeana na vitu vingi hasa mazingira,elimu n.kMume wa miaka 23 kibongo bongo mbona bado mdogo sana, hata kiakili anakua hajakomaa vizuri kuhandle majukumu ya nyumba
DaH!!hili ni tusi kwa sisi wenye miaka 24 vp ? Huwa tunakomaa na miaka mingapi?Mume wa miaka 23 kibongo bongo mbona bado mdogo sana, hata kiakili anakua hajakomaa vizuri kuhandle majukumu ya nyumba
Hapana sijasema kwa nia mbaya, kawaida wengi umri huo ndio katoka shule anapambana na ajira aweke mazingira mazuri ya maisha yake.DaH!!hili ni tusi kwa sisi wenye miaka 24 vp ? Huwa tunakomaa na miaka mingapi?