Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Usiogope nina vitambaa kasha zima, tutashona kuunga juhudi za mkuu
 
ANAETAFUTA
Jinsia: Ke
Umri:miaka 23
Makazi: Dar es salaam
Dini: Muislam

ANAETAFUTWA
Jinsia:e
Umri: Miaka 25
Dini: Muislam

Kwa yeyote anaehitaji na kua na vigezo hivyo

Nitafute inbox nikuunganishe na Mrembo huyo
 
Haya kuwadi Maganga........ Ndio kama sio kuwadi basi wewe utakuwa punga .....kwani wewe utaki jinsia ziwasiliane......maana kama ukimwi hata wewe hapo unao🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Haya kuwadi Maganga........ Ndio kama sio kuwadi basi wewe utakuwa punga .....kwani wewe utaki jinsia ziwasiliane......maana kama ukimwi hata wewe hapo unao[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hueleweki unaandika Kwa ajili ipi

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Mume wa miaka 23 kibongo bongo mbona bado mdogo sana, hata kiakili anakua hajakomaa vizuri kuhandle majukumu ya nyumba
Rudia nyuma yangu...watu hawako sawa,ukomavu wa mwanamke au mwanaume inategemeana na vitu vingi hasa mazingira,elimu n.k

Mwanaume au mwanamke 18+ yuko tayari ni mtu mzima na kapevuka pia majukumu ya kifamilia ndo yanamjenga mtu
 
Mume wa miaka 23 kibongo bongo mbona bado mdogo sana, hata kiakili anakua hajakomaa vizuri kuhandle majukumu ya nyumba
DaH!!hili ni tusi kwa sisi wenye miaka 24 vp ? Huwa tunakomaa na miaka mingapi?
 
Back
Top Bottom