mandunda
Member
- Jul 20, 2019
- 81
- 66
Mi nataka ila iwe desemba 2021Wanaotafuta ndoa, mpite hapaaaaah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi nataka ila iwe desemba 2021Wanaotafuta ndoa, mpite hapaaaaah
Tutapata soon idea zitakuja mkuu ngoja tusubiri wadau maana hata ZILE guest aziko tena na vibango onyesha cheti cha ndoaMkuu toa muongozo ni namna gani tunaboresha hii jamii yetu bila jamii kututazama kwa mtazamo hasi. Katika nyumba za kupanga tumefanikiwa awali kigezo ilikua lazima uwe na mwenza ila kwa sasa wenye nyumba wengi wanatukimbilia tujipongeze kwa hili.
Unajua kucheza na comments mkuu🤝🤝🤝Nimeona tuazishe hii madaaa nawaonaa SINGLe WENGI wa jf wakioana MWAKA JUU KWENYE ulimwengu wa Rohoo
LA.maana Usiogope mwenza wako unampata wapi pengjne MUNGU ameachilià Hili na WEWE uitwe MKE ama mume
Tafadhari karibh tushare mada jitambulishe na msiogope kufwatana nbox hayo NDIO MAPENZI mema
LA maana msichezeane Naonà kadi NYINGI za mwalko wa Harusi inbox na sio za.mchango pls .,kuanzia LEOO hii hapa Jf
KUMBE
NDOA ni lazima uitafute haijjii kama kifo
Vipi wewe umeoa /kuolewa mkuuSIMBAYA KUJUANA KWA STYLE
HII
PDIDY
SINGLE
MAN/FEMALE
LKN FOR ..,....FRM.JF
INBOX......
MENGINEYOO
UNAMWACHIA.MUNGU KWA WATAKAOKUJA
LAZIMA TUPUNGUZE IDADI YA MASINGLE.MWAKAHUU TUONE NDOA BORA KABISA ZA JF
NB;
Mwaka HUU NAPOKEA kadi za mwaliko tu na sio mchango tafadhalii
kila.LA kheri wotee
Mwaka wa.mafurikoooo huuuuuAisee tulio "singo" pengine ndo wakati wetu huu kuwa "dabo". Mwaka wa matukio huu. Karibuni jamani.[emoji23]. Milango ya ofisi ipo wazi 24 hrs .
Uichiii kuorye covid 19Tchaaaaa.......apaaaa womiiiiiii.........
Wayiiiiii........
Uichiii kuorye covid 19
CHAA ngilekeni kapsaaa