Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Mwaka wa.mafurikoooo huuuuu
Naonaaaa stationary za jf zikiteseka kutengeneza kadii za michango na ndoaa

WENYE stationary kazikwenuu
Unachagua diwani, mbunge , rais na mke/ mume unapewa . Huu mwaka siyo wa kupita bure.
 
Kabisa mkuuu na penginerr mod anawe
Unachagua diwani, mbunge , rais na mke/ mume unapewa . Huu mwaka siyo wa kupita bure.
za kuchangiaaa harusipiaaa ama.maharii yakooo
 
Age: 1000+

Specie: Hybrid (vampire +werewolf)

Location: dar es laam

Education level: 7 degree

Professional: ancient botanist, writer,philosopher, word war 1&2 former solder,doctor,engineer



Nimekuja tu kusoma Uzi Niko na konyagi pembeni
Duuu ulikuepo tokea enzi za alexander the great,alfred the great..
 
Jina:Miminimama.
Umri:30.
Location😀SM
Dini😛entecoste.
Rangi:Black fulani hivi.
Si mnene si mwembamba.
Miminimama nina mtoto mmoja, natafuta mume miaka 30 na kuendelea awe amejiajiri au kuajiriwa.
Mimi nimejiajiri na ninajitegemea naishi mwenyewe na mtoto wangu.
Zaidi tujuane pm
Npm my love

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom