ndukulusudicho
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 501
- 768
nitashukuru sana mkuu
vipi gharama ya usafiri ikoje kutoka huko mpaka mjini?
Usisahau kumbebea japo samaki wa 20000 mkuuNashukuru sana tena kwa mara nyingine
Lakin mkuu ngoja nione watakaponipangia, nitakuja tena tuongee!
Kuhusu cost comparison, nitalifanyia kazi hili suala maana Dar kuna kupanda gari hata mara 2 mpaka ufike site
Umenifadhili sana boss wangu!
Mungu azidi kukupa moyo wa kusaidia!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilitaka kuingia chimbo , nimeahirisha, tayari nimeshapata Mke hapajamani eh mtaani bla bla nyingi, bora hapa tunaenda direct kwenye vigezo na sifa tuzitakazo.
Age:23
Dini: Muislam (mchamungu)
kazi: self employed
status:single, sina mtoto
Mwenza naemuhitaji(awe tayari kuoa. Matured man indeed)
-muislam
-age kuanzia 30-35
-mwajiriwa/mwenye kipato halali.
-black Na mwili wa wastani usiwe kibonge sana.
Mengine tutajuzana pm, karibuni.
Pole sanaSasa mkuu kukaa haihitaji chura kubwa cm 1 tu inatosha hiyo ipo, ila waoaji wanataka chura kubwa kama bodi la gari tena Bus,hapo ndyo tunapishanaa
Ahsante, vipi na wewe ndiye walewale wapenda vyura???
Aaii, unafeel aje lonely wakati wadada wameleta CV humu ,hujaziona mkuu?
sijaona mkuu hebu ni cc mojawapo nioneAaii, unafeel aje lonely wakati wadada wameleta CV humu ,hujaziona mkuu?
Mimi mwenyewe nimeleta CV ,mmepita hivi kama hamjaona aisee😪sijaona mkuu hebu ni cc mojawapo nione
cv yako ina mashaka, pm yako umefungaMimi mwenyewe nimeleta CV ,mmepita hivi kama hamjaona aisee😪
Acha kunizibia rizki mkuu, jamaa yupi tena ,wakati huwa nakusubiri wewe😀😀Mumeo niko hapa, ila nijue kama yule jamaa umeachana naye tayari.
Sent using Jamii Forums mobile app