Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Umri 28
Elimu_six
Sina mtoto
Dini mkristo
Jinsia ME
Kazi mjasiliamali na nimeajiriwa secta binafsi.
Nipo dar kikazi, mwanamke ninaetafuta umri miaka 18hadi 28.awe mweupe au maji ya kunde,elimu yoyote.awe na akili ya biashara.nitampenda Kama ninavyompenda mama yangu,na hatajutia kuwa na Mimi.asiwe bonge Wala mrefu Sana awe kati.nipo serious na sitanii.karibu Sana Pm.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Umri miaka 40
Kazi: Afisa Usalama
Dini :Islam
Utaifa : Mzanzibar
Marital status : Nina mke mmoja ila nataka kuongeza mke wa pili
Naishi Mkoa wa DSM Tegeta
Nahitaji mwanamke ambae mstaarabu , mchangamfu, mpole , mnene, mwembamba..
Nao,be kupestana mm nahitaji mke wa pili CV yangunkama yako
 
Hiyo 'black fulani hivi' ikoje mkuu au ni aina mpya ya rangi ?
 
Umri : Miaka 40
Kazi: Mjasiliamali
Utaifa : Mtzania halali
Status : Nina mke mmoja ila nataka kuongeza wa pili
Naishi : Dar
Nahitaji mwanamke mstaarabu, mnene/mwembamba kiasi

Mwenye vigezo karibu PM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…