Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Kabisaa[emoji847][emoji847]
Umri:30
Elimu:stashahada
Makazi:dar
Kazi:mtumishi wa umma
Nimejenga Nyumba kubwa ina kila kitu tatizo upweke nipo naishi na mfanyakazi tu
Karibu.
Ukiangalia asilimia kubwa ya wanaotafuta wachumba humu ni 'waajiriwa ' maana yake waliojiajiri wengi wanapata wenzi kirahisi kuliko Hawa wa 'mishahara '
 
Umri miaka 38
Makazi Dsm
Watoto wawili
Elimu form four
Kazi, ufundi
Dini, mkristo

Kwa aliye tayari aje pm
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ujaamua tu mkuu ,,comments zote hz au vigezo vigumu,,,,
Ila humu wasomi wengi,!!! Afu wasomi wanahitaji wasomi wezao[emoji847][emoji847]

Wanasahau kwamba hata ambo hatujasoma tuna akili ya kupambana na maisha
Sijaina popote unapohitaji mrembo, kwani ukija chemba/pm kuna tatizo jmn?
Kuja bhana
 
Ngoja na mimi nisake mchumba nimevumilia umri wangu 28 , mwanamke mzuri na msafi aje pm tuyajenge, umri kuanzia 45 kushuka chini
 
Single tukutane
Singles tukutane, hapa
Single tukutane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…