Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Umri miaka 38
Makazi Dsm
Watoto wawili
Elimu form four
Kazi, ufundi
Dini, mkristo

Kwa aliye tayari aje pm
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ujaamua tu mkuu ,,comments zote hz au vigezo vigumu,,,,
Ila humu wasomi wengi,!!! Afu wasomi wanahitaji wasomi wezao[emoji847][emoji847]

Wanasahau kwamba hata ambo hatujasoma tuna akili ya kupambana na maisha
Sijaina popote unapohitaji mrembo, kwani ukija chemba/pm kuna tatizo jmn?
Kuja bhana
 
Ngoja na mimi nisake mchumba nimevumilia umri wangu 28 , mwanamke mzuri na msafi aje pm tuyajenge, umri kuanzia 45 kushuka chini
 
View attachment 1395771

Watu wengi wapo tayari kuanzia maisha na wenza wao Ila kuna mmoja bado anasuasua; ili kuwezesha kukutana Kwa watu ambao wapo tayari kuvutana muanze maisha muendele Kula mema ya nchi pamoja Kwa kuishi pamoja, kwani kuishi peke yako Kwa vijana kuna changamoto nyingi na wengi wetu hatupendi Ila wenza wetu hawapo tayari Kwa sababu zisizokuwa na maana

Hapa tunatoa wasifu mfupi na wapi tunaweza kupata Mambo mengine mnamalizia pm.

Naanza mwenyewe Mimi ni mwanamme mfanyabiashara umri 26 elimu degree, naishi dar, Kwa aliyetari kuyajenga karibu Niko tayari tuanze maisha naishi peke yangu.
Single tukutane
Singles tukutane, hapa
Single tukutane
 
Back
Top Bottom