Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Mie Wiser1, nahitaji mkaka wa kuburudika tu..story sana, akiwa na muda twende club, yan sitak nifikishe miaka 40 ndo nianze kuhangaika....aliyetayari aje PM.

Awe mrefu mweusi, mmasai atanifaa! Umri wake wowote tu ..ha ha ha haaa
Kwa miaka mitano ijayo mtaongezeka sana!
 
Safiiiii
 
Umri : 30
Kazi: nimejiajiri
Elimu: chuo
Makazi : Dar
Dini: mkristo
Nyumba : ipo
Gari : lipo la maana tu!
Mahusiano: sijaoa

Nimtakae

Umri 18- 25

Umbo awe mfupi na asiwe mnene
Dini: mkristo
Elimu angalau: chuo
Awe ana kazi za kufanya
Bora yako
 
Sisi wenye elimu km ya bashite lkn tuna hela zetu tutapata wachumba kweli.....
 
Mimi

Jinsia- Me
Umri- miaka 30
Elimu- Niliishia Form six
Dini- mkristo (ni mcha Mungu)
Kazi- nimejiajiri( biashara & Kilimo)
Makazi- Dar
Sina mtoto
Hobbies:
-Napenda mno kuskiliza miziki mbalimbali -Napenda mpira wa ulaya (Chelsea fc fan)
-Napenda movies

Mke mtarajiwa

Umri- 20-30
Dini- Mkristo
Elimu- Angalau kuanzia form4( ukiwa unajua kuskia na kuongea kiingereza itapendeza zaidi)
Kazi- Yoyote au Uwe tayari kujishughulisha(biashara au kilimo)
Rangi sichagui
Ukiwa na mtoto haina shida ila asizidi 1 tu

Ukiwa tayari fanya kuni PM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…