Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Mie Wiser1, nahitaji mkaka wa kuburudika tu..story sana, akiwa na muda twende club, yan sitak nifikishe miaka 40 ndo nianze kuhangaika....aliyetayari aje PM.

Awe mrefu mweusi, mmasai atanifaa! Umri wake wowote tu ..ha ha ha haaa
Kwa miaka mitano ijayo mtaongezeka sana!
 
NATAFUTA MKE

SIFA


1.
Akubali kuoelewa mitara

2.
Awe na uzazi wenye afya maana nitahitaji anizalie watoto saba 7 Nina mashamba mengi kijijini kwetu igowile hivo nahitaji nguvu kazi pamoja na kutii agizo la muheshimiwa rahisi la kufyetua

3.
Asiwe na ajira .na akubali kufanya kazi yeyote mfano kulima kwa kutumia ng'ombe,kuchunga mifugo yetu, kuuza maziwa ,kufeytua matofali pale mbaralali nina kamachine kangu.


4.
Elimu yeyote


5.
Kabila lolote

6.
Dini lolote


7.
Umri asiwe chini ya miaka 18 Mimi sio pedophile naomba ileweke iyo na asiwe cougar ,Milf , nakadhalika

8.
Na awe na chura
..na hichi ndo kigezo cha muhimu



Ni hayo tu
Safiiiii
 
Umri : 30
Kazi: nimejiajiri
Elimu: chuo
Makazi : Dar
Dini: mkristo
Nyumba : ipo
Gari : lipo la maana tu!
Mahusiano: sijaoa

Nimtakae

Umri 18- 25

Umbo awe mfupi na asiwe mnene
Dini: mkristo
Elimu angalau: chuo
Awe ana kazi za kufanya
Bora yako
 
Sisi wenye elimu km ya bashite lkn tuna hela zetu tutapata wachumba kweli.....
 
Mimi

Jinsia- Me
Umri- miaka 30
Elimu- Niliishia Form six
Dini- mkristo (ni mcha Mungu)
Kazi- nimejiajiri( biashara & Kilimo)
Makazi- Dar
Sina mtoto
Hobbies:
-Napenda mno kuskiliza miziki mbalimbali -Napenda mpira wa ulaya (Chelsea fc fan)
-Napenda movies

Mke mtarajiwa

Umri- 20-30
Dini- Mkristo
Elimu- Angalau kuanzia form4( ukiwa unajua kuskia na kuongea kiingereza itapendeza zaidi)
Kazi- Yoyote au Uwe tayari kujishughulisha(biashara au kilimo)
Rangi sichagui
Ukiwa na mtoto haina shida ila asizidi 1 tu

Ukiwa tayari fanya kuni PM
 
Back
Top Bottom