Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Miaka yote hiyo 30 huna mtoto?? Umezingua brow!
 
Umri : 30
Kazi: nimejiajiri
Elimu: chuo
Makazi : Dar
Dini: mkristo
Nyumba : ipo
Gari : lipo la maana tu!
Mahusiano: sijaoa

Nimtakae

Umri 18- 25

Umbo awe mfupi na asiwe mnene
Dini: mkristo
Elimu angalau: chuo
Awe ana kazi za kufanya
Hapo kwenye umbo umepata wengi mno tatizo hiyo elimu ndo msala ulipo
 
Umri:25+
Jinsia :Me
Makazi:Central zone Dodoma
Kazi:Enterpenuer
Wealth:$1.5+M
Uhusiano: Single

Mahitaji
Umri:below 30
RangiπŸ˜›artial black
Location: central zone
Hebu usiaibishe zone nzima na hiyo "wealth" yako

Ome quick question: can you compare and differentiate wealth and income?
 
Umri 39
Jinsia Me
Kazi: Legal adviser
Location: Dar es Salaam

Natafuta Mke
Umri 40 and above
Elimu any
Dini any
 
Kuna wanaume machaguzi yenu vere simpo..hamtaki kabisa mambo mengi
 
Mwaka unaisha Jamani...hakuna yeyote aliyepata mwenza?
 
Natafuta boyfriend awe na miaka kuanzia 28 mpk 34 awe mkristo anaejua kwenda kanisani sio kusubiri mpaka sikukuu awe anajali kwa mawasiliano ajue umuhimu wa kuwasiliana kila siku kama hujui kuwasiliana unakaa kimya siku nzima sitakueza upite kushoto ahsante
 
Jina;Magema jr

Age:20

Home place:kahama town

Education level:diploma of primary teacher

Assets:kiwanja, stock ya gunia 18 za mpunga, heka moja na nusu ya mahindi, account bank ya tsh 2 million na kama laki tatu ivi

Plan:kupata mwanamke mrembo kutoka hapa jukwaani au nje ta jukwaa

Vigezo:awe mcha mungu na mwenye nia ya dhati kuolewa

Dini:RC

EMAIL ADDRESS:MARTINE17WILI@GMAIL. COM

CONTACT:0746055137

(Sitaki usumbufu)
 
Wakimaliza hiyo bank amount na hizo gunia za mpunga huwaoni tena[emoji23][emoji23]
 
Umri 25
Jinsia : ke
Elimu:University degree
Kazi: private lawyer
Location: Dar es Salaam

Natafuta friends preferably wa kiume, elimu kuanzia form 6, positive minded na mchangamfu.
Tupo karibu
 
Umri: 35
Jinsia: me
Dini : islam
Kazi : mtumishi mawasiliano
Makazi : sinza
Hobby : playing piano and violin

Mke ninaemuhitaji

Umri : asinizidi kwasababu sipendi kuzidiwa na
Wanawake.
Umbo: awe mrefu futi nne na point tatu,
msambwanda uwepo wa uhakika
natural sio mchina.
Rangi: mweupe kiasi.
Lugha: kiswahili tu kinatosha.
Elimu: kuanzia form four.
Kazi : si muhim kwasababu atafanya zangu.
Dini : any
Hobby: ajue kuimba vizuri zaidi ya nandi.

Asanteni napenda kuwasilisha
 
Naitwa John,
umri 23,
Makazi: DSM
Kazi: self employed
Education: bachelor degree
Natafuta mke... awe charming, humble, sense of humor.. dm me
 
Mimi mwenye 27 je?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…