Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Mzee naona uko tayari kuanza mechi 1:0,muda wowote utasawazisha[emoji23][emoji23]
 
Mliosema mtaoa/kuolewa before mwaka uishe changamkeni..kipindi Cha lala salama hiki
 
Kwa mdada aliye serious miaka 22 - 32 , dini awe mkistro asiwe na mtoto
Kuhusu mimi jinsia : ME, umri miaka: 30, urefu :ft 6+, rangi:Mweusi, kazi :mtumishi wa umma , makazi: mbeya town
Haiba yangu ni mimi ni mpole, sio mtu wa kujichanganya kisana, nina marafiki wachache na pia sio muongeaji sana
Mdada aliye interested karibu DM..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…