prosper cliff
JF-Expert Member
- Jan 19, 2017
- 661
- 695
Ni mimi mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mimi mkuu
Nimependa jinsi ulivyojibu kistarabu!!Hapana sijasema kwa nia mbaya, kawaida wengi umri huo ndio katoka shule anapambana na ajira aweke mazingira mazuri ya maisha yake.
Japo wapo waliooa na umri hata chini ya huo.
Mkuu ulishahama yaida chini?Tchaaaaa.......apaaaa womiiiiiii.........
Wayiiiiii........
Kuna rafiki yangu amenituma nae msukuma ngoja nikucconectMi natafuta mke!!
Sifa zake.
1- awe anajua kusoma na kuandika!
2- awe maji ya kunde/mweusi/mweupe yote sawa!!
3- umri kuanzia 28-36
4- asiwe mnene sana!!
5- awe mrefu futi 5 na kuendelea
6- awe mkristo
7- hata akiwa na watoto wasizidi wawili!!
8- Akitokea kanda ya ziwa, itapendeza zaidi!!
Vigezo vinaweza badirishwa kulingana na mazingira!! Karibuni pm!
Sifa zangu,
1- Elimu degree animal science
2-Dini mkristo wa kkkt
3-umri 40
4-Nimejiajiri
5-mrefu futi 5 na cm 8
6- rangi maji ya dengu!! sorry maji ya kunde
Mengine tutajuzana pm
Itapendeza!Kuna rafiki yangu amenituma nae msukuma ngoja nikucconect
Sasa huu ni utani!! unawezaje kulete utani kwenye jambo serious namna hii!!Nina wanawake wa kutosha anaetaka aseme hapa nimpe.tumevunja kikoba
dah changamoto ni hapo pa kipatoNahitaji mpenzi wa kusogeza naye siku.
Umri kuanzia 26 hadi 35
Asiwe na commitment nyingine ya mahusiano. Au kama anayo basi iwe mbali na yeye
Mie niko Dar. Na yeye awe Dar
Awe mrefu/wastani, mrembo
Awe ana kazi yake inayo muingizia kipato, asiwe tegemezi
Mie ni mwajiriwa.
Nahitaji mpenzi/Friend with benefit. Tupeane mapenzi kama yote.
NB: Nina Familia mkoani
Thank you MNFUMAKOLENimependa jinsi ulivyojibu kistarabu!!
Utani uko wapi mkuu??Sasa huu ni utani!! unawezaje kulete utani kwenye jambo serious namna hii!!
Kwahio kikoba chenu, kilikuwa kinatunza wanawake sio pesa!!??
Pesa.wengi Ni single wameniomba niwatafutie maana nilimpata huku wa kwanguKwahio kikoba chenu, kilikuwa kinatunza wanawake sio pesa!!??
Ok!! kumbe walikuwa mashostito wa kwenye kikoba!! nimekusoma mkuu!!Pesa.wengi Ni single wameniomba niwatafutie maana nilimpata huku wa kwangu
Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
Ndio boss usiwe na hofuOk!! kumbe walikuwa mashostito wa kwenye kikoba!! nimekusoma mkuu!!
Sawa sawa!! pia hongera kwa kupata mwenza kupitia jf!! hii itasaidia member waamini kuwa, inawezekana kupata mwenza hata kupitia jf!!
Asante .inawezekanaSawa sawa!! pia hongera kwa kupata mwenza kupitia jf!! hii itasaidia member waamini kuwa, inawezekana kupata mwenza hata kupitia jf!!