Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Mi natafuta mke!!
Sifa zake.
1- awe anajua kusoma na kuandika!
2- awe maji ya kunde/mweusi/mweupe yote sawa!!
3- umri kuanzia 28-36
4- asiwe mnene sana!!
5- awe mrefu futi 5 na kuendelea
6- awe mkristo
7- hata akiwa na watoto wasizidi wawili!!
8- Akitokea kanda ya ziwa, itapendeza zaidi!!

Vigezo vinaweza badirishwa kulingana na mazingira!! Karibuni pm!

Sifa zangu,
1- Elimu degree animal science
2-Dini mkristo wa kkkt
3-umri 40
4-Nimejiajiri
5-mrefu futi 5 na cm 8
6- rangi maji ya dengu!! sorry maji ya kunde
Mengine tutajuzana pm
 
Hapana sijasema kwa nia mbaya, kawaida wengi umri huo ndio katoka shule anapambana na ajira aweke mazingira mazuri ya maisha yake.
Japo wapo waliooa na umri hata chini ya huo.
Nimependa jinsi ulivyojibu kistarabu!!
 
Kuna rafiki yangu amenituma nae msukuma ngoja nikucconect
 
Mdada
Miaka 40
Watoto 6
Kabila mjaluo
Kazi mama wa nyumbani / mjane

Anaetafutwa
Mwanaume anaejitambua mwenye huruma na uwezo wa kulea familia
 
dah changamoto ni hapo pa kipato

legeza masharti tuje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…