Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Umri: 40yrs
Elimu😀egree
Kazi: mwajiriwa na mjasiriamali
Makazi:Rukwa
Dini: Mkristu
Watoto: 2
Sifa za wife:
Umri: 25 to 35 yrs
Awe mkristu mcha Mungu,
Asiwe mlevi wa pombe/sigala aina yoyote
Awe na Elimu kuanzia kidato cha 4 na kwa aliyejiendeleza chuoa ni vizuri zaid hata kama hana employment
Kama ni single mama, basi mtoto mmoja anatosha, pia asiwe amezaa na konda au dereva!
Atoke mkoa wowote na kabila lolote!
Mengine tutaelezana mbele!
 
Name cristian gandaf
Residence dar es salaam
Age 35
Religion islamic
Sex male
Kwa alie tayar pm
 
NAME:salum yusuf
KAZI:dereva wa uber
Dini:muislam
Umri;25.
Nahitaji mwana dada wa kuanza nae maisha asiwe mnene .elimu awe anajua kusoma na kuandika ..
Kipaumbele .TANGA,MTWARA,SINGIDA NA KONDOA
 
Natafuta mwanaume anaetaka nihamie kwake
Nitakuja na fridge na jiko na vyombo tu
Kitanda tutalalia chake
Awe na nyumba nzuri mengine kama gari ,kulipa ada kula tutasaidiana
Mazaifu yangu
Sipendi kugegedwa sana,nipo busy sana sana .kurudi home saa tano usiku
Akiwa na watoto wasizidi wawili ,mimi sina
Awe muhenga ,awe anaishi dar ila sio temeke

Sent using Jamii Forums mobile app

Njo PM
 
Hajui watu tushahamia kitambo tunatema mate season 2

Tena mate yenye ladha ya 'double impact'.

Mate season ya 3 yatakuwa na ladha ya 'triple impact' (mapacha watatu).

Long live miss kutafuta.

-Kaveli-
 
Back
Top Bottom