Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Ahaaa acha kabisa triplet daah hapanaTena mate yenye ladha ya 'double impact'.
Mate season ya 3 yatakuwa na ladha ya 'triple impact' (mapacha watatu).
Long live miss kutafuta.
-Kaveli-
Kuna kipindi nilikuwa natamani mapacha 3 ila nimekuwa mkubwa kwa kweli namshukuru Mungu kwa yote.kazi sio kuzaa.janary tu mmoja inatoka m 2.wakiwa wtatu at per je?