Wee vipi cc?Mrejesho muhimu
ππHapa ni mwili unakuwa umekukubali halafu umekukutaa
Nipe details nikuandikie
IT nyie hamkawiii ku'track mtu πUmri : 29
Jinsia : Me
Elimu : Shahada
Kazi : IT kwenye kampuni binafsi
Mtoto : Sina
Makazi : Arusha
HahahahahNatafuta mume.
Sifa awe anapumua tu nshachoka mie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]IT nyie hamkawiii ku'track mtu [emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahah
Huu uzi nacheka sana...
Natafuta mwanaume anaetaka nihamie kwake
Nitakuja na fridge na jiko na vyombo tu
Kitanda tutalalia chake
Awe na nyumba nzuri mengine kama gari ,kulipa ada kula tutasaidiana
Mazaifu yangu
Sipendi kugegedwa sana,nipo busy sana sana .kurudi home saa tano usiku
Akiwa na watoto wasizidi wawili ,mimi sina
Awe muhenga ,awe anaishi dar ila sio temeke
Sent using Jamii Forums mobile app
Soma tareheNjo PM
Soma tarehe
Soma tarehe
Hajui watu tushahamia kitambo tunatema mate season 2Pengine jina lako ndiyo limemchanganya. Anadhania 'unatafuta' siku zote nonstop.
-Kaveli-
Una miaka mingapi kwanzaShida ni tarehe au Response
Hajui watu tushahamia kitambo tunatema mate season 2