financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Usisikilize ya watu mkuu, kuwa serious ni hadi niandike tangazo nikiwa uchi na mbususu nje mkuu? Dah njoo tufanye kweli tuwaprove wrong🤔Wengi wanakulalamikia humu haupo serious, inaonekana ushawazingua wengi🤣
Hahahahhaaha.dihUsisikilize ya watu mkuu, kuwa serious ni hadi niandike tangazo nikiwa uchi na mbususu nje mkuu? Dah njoo tufanye kweli tuwaprove wrong[emoji848]
Hi Napoleone! Wewe ulishaoa huhitaji mke?Hahahahhaaha.dih
ComingUsisikilize ya watu mkuu, kuwa serious ni hadi niandike tangazo nikiwa uchi na mbususu nje mkuu? Dah njoo tufanye kweli tuwaprove wrong🤔
Nasubiri mirejesho kwanza [emoji38][emoji38][emoji38]Chelewa chelewa utakuta mwana si wako! Acha kuzoom vuta waya mapema[emoji23][emoji23]
Tafuta ela dogo.
Bwana mchimbaji umechoka kuchimba mashimo ya dhahabu sasa unataka uchimbe na mashimo Mengine..?!Nasisi wachimbaji mutufikilie jamani.
Kuhusu kuhonga sisi ndio tunaongoza (kwetu pesa makaratasi)
Tatizo nina mke mmoja na watoto wanne, lakini kwakua pale kati patam bado nikiona totozi mate yana nitoka.
Ukijiamini nifuate PM tuyajenge.
Nb. Sichagui dini, kabila, wala umri, chamsingi pale kati patam.
🤓🤓🤓, hatari Sana.Usisikilize ya watu mkuu, kuwa serious ni hadi niandike tangazo nikiwa uchi na mbususu nje mkuu? Dah njoo tufanye kweli tuwaprove wrong🤔
Mh!Age: XMV
Tribe:Shangan
Education: 3 DiplomAs Entomology, Meat Hygiene, sex grade 1.
Nyumba 2 zipo
Location : NYARUHANDE
PESA : ZIPO DAILY LAKINI SIYO BLN
NAHITAJI MCHUMBA OF BTW 25 - 32AGE ASIWE MNENE BALI TAKO LIWEPO
OTHERS: NILISHATHIBITIKA KUWA NINA PERMANENT KINGA DHIDI YA CORONA 19
NJOO PM
Sent using Jamii Forums mobile app
Mamaaa wee watoto wa watu unawagawa bure😂😂 bila shaka kuna mtu huko hatoi child supports. Kila rakheriDear future hubby
Nipo mke na bonus ya three kids nakupa kabisa kwa jina lako.
Changamkia fursa
Yaani kama wamekunyanyasa huzalishi nakupa watoto kisheria kabisa
Check my PM
Viko wapi? Nikivielewa nikupe kaka anguHivi wakuu vigezo vyangu hamjaviona?
Uliniahidi kaka yako muda sasa ila sijui sina vigezo hata hunipi huyo kaka😛Viko wapi? Nikivielewa nikupe kaka angu
Hivi wakuu vigezo vyangu hamjaviona?
Vitaje tena bana. 😂 nimevisahauUliniahidi kaka yako muda sasa ila sijui sina vigezo hata hunipi huyo kaka😛
Yaani juu mwembamba halafu chini mnene.