Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Mimi ni Me
Nipo Songea Mjini
Umri ni 36
Ke mwenye umri kuanzia 30 kushuka aje inbox tuyajenge.
 
Habari za wasaa huu!
Hey Ladies and Gentlemens hapa nataka kila Me/Ke atoe location au codes mfano Useme hivi.
Mimi ni Me
Nipo Dodoma Mjini
Mtaa wa Area C near NAM Hotel

Au
Mimi ni Ke
Nipo Iringa Mjini
Mahali Kihesa
Toa na mtaa

Kama ni kijijini useme pia labda
Mimi Ke
Nipo Tanga Muheza
Sehemu Amani
Kijiji cha Ndole and so on

Toa taarifa muhimu watu watalike nakuja PM. Kama unatafuta mwenza aliye karibu yako hii itarahisisha. Mambo yatakuwa mepesi

Note: Hii ni kwa ajili ya watu wanamind distance wengine kumdate mtu yuko mtwara na yeye yuko Kigoma ni ishu kwa that distance matters
Mimi ni mwanaume 35 nipo Bunju B Dar
 
Back
Top Bottom