kitokololoo
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 704
- 818
Miaka 30 mwanaume
Mbeya iwambi
Mbeya iwambi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujasema jinsia yako.Mimi ni me,nipo dar,buza,nataka mpenzi wa kuburudishana.
Sorry sikuona vizuriHuelewi maana ya me
Toa sifa watakufuata kimya kimyaNiliposoma title nikajua mkuu una supply wachuchu wa kuolewa...
Basi nikaja mbio nije nijichagulie mPuerto Rico mmoja...
Nikufuate PMHali imefikia huku[emoji276]
Yajayo yanafurahisha!
Mimi ni mwanaume 35 nipo Bunju B DarHabari za wasaa huu!
Hey Ladies and Gentlemens hapa nataka kila Me/Ke atoe location au codes mfano Useme hivi.
Mimi ni Me
Nipo Dodoma Mjini
Mtaa wa Area C near NAM Hotel
Au
Mimi ni Ke
Nipo Iringa Mjini
Mahali Kihesa
Toa na mtaa
Kama ni kijijini useme pia labda
Mimi Ke
Nipo Tanga Muheza
Sehemu Amani
Kijiji cha Ndole and so on
Toa taarifa muhimu watu watalike nakuja PM. Kama unatafuta mwenza aliye karibu yako hii itarahisisha. Mambo yatakuwa mepesi
Note: Hii ni kwa ajili ya watu wanamind distance wengine kumdate mtu yuko mtwara na yeye yuko Kigoma ni ishu kwa that distance matters