Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Nasisi wachimbaji mutufikilie jamani.
Kuhusu kuhonga sisi ndio tunaongoza (kwetu pesa makaratasi)
Tatizo nina mke mmoja na watoto wanne, lakini kwakua pale kati patam bado nikiona totozi mate yana nitoka.

Ukijiamini nifuate PM tuyajenge.

Nb. Sichagui dini, kabila, wala umri, chamsingi pale kati patam.
 
Bwana mchimbaji umechoka kuchimba mashimo ya dhahabu sasa unataka uchimbe na mashimo Mengine..?!
 
mke serious njoo PM
IMG-20210729-WA0003.jpg
 
Age: XMV
Tribe:Shangan
Education: 3 DiplomAs Entomology, Meat Hygiene, sex grade 1.
Nyumba 2 zipo
Location : NYARUHANDE
PESA : ZIPO DAILY LAKINI SIYO BLN
NAHITAJI MCHUMBA OF BTW 25 - 32AGE ASIWE MNENE BALI TAKO LIWEPO
OTHERS: NILISHATHIBITIKA KUWA NINA PERMANENT KINGA DHIDI YA CORONA 19
NJOO PM

Sent using Jamii Forums mobile app
Mh!
 
Dear future hubby

Nipo mke na bonus ya three kids nakupa kabisa kwa jina lako.

Changamkia fursa

Yaani kama wamekunyanyasa huzalishi nakupa watoto kisheria kabisa

Check my PM
Mamaaa wee watoto wa watu unawagawa bure😂😂 bila shaka kuna mtu huko hatoi child supports. Kila rakheri
 
Natafuta mke

Dini: Muslim

Kazi: Govn employee

Umri: 25

Jinsi : me

Serious one please Dm [emoji120]
 
Back
Top Bottom