Hongera sana kiongozi muishi kwa upendoBaada ya kuleta Uzi Huku WA kuvutana ndani, napendwa kutoa mrejesho kuwa nimepata nilichokuwa nahitaji na zaidi ya matarajio, nimepata mwanamke mzuri Kwa urembo na kichwani, anajua kujali, kupenda na kuheshimu...Kwa hakika jamii forum imejua kukifurahisha......Kwa wengine ambao MNA mrejesho mnaweza kuutoa pia, Kwa hakika jamii ni kiwanda cha kila kitu. Muwe na jumapili njema.
Asante, Mkuu Kwa hakika mdada amejua kunipenda na anajali Ile mbaya, watu wazuri bado wapoHongera sana kiongozi muishi kwa upendo
Yote yote Mkuu, sema tafsiri za vijana
Muangalie sana huyo pita, take care[emoji188][emoji188] napita tu.
Daah dini na rangi vimenikosesha mchumbaUmri : 31
Elimu : shahada ( degree)
Kazi : Mwalimu
Dini : Muislam
Muonekano : Si mrefu Sana wala si mfupi, rangi ya maji ya kunde, Si mnene Wala si mwembamba
Mtoto/ watoto : Nina mtoto mmoja
Makazi : Tanga
Kilevi : situmii
Sigara : Sivuti
Nahitaji mke mwenye vigezo vifuatavyo ;
Umri : 25- 35
Dini : Muislam
Elimu : kuanzia kidato Cha nne
Kazi : Mwajiriwa au amejiajiri
Mtoto/ Watoto : Kama Ana mtoto sawa
Tabia : Mwenye kujiheshimu
Kilevi : Hapana
Muonekano : mweupe ama rangi ya chocolate
Kabila : lolote ila asiwe mzaramo
NB: Mambo mengine tutaongea
Naye ni mpita njia tu.Muangalie sana huyo pita, take care
Utapata usijali wapo ambao wanapenda rangi na dini uliyonayo mamaa
Watakuwa na vigezo vingine ambavyo sijakidhiUtapata usijali wapo ambao wanapenda rangi na dini uliyonayo mamaa
Hapana, ni mapema Sana kusema hivyo. Uzi Bado unaendela atatokea ambae utakidhi vigezo vyake
Asije Acha Alama,Naye ni mpita njia tu.
Mbona hujatoa CV yako watu waje, weka bango lako
Asije Acha Alama,
Nimeweka mbona muda mrefuMbona hujatoa CV yako watu waje, weka bango lako
Habari yako Nima,pliz njoo inbox mamaMwenzangu nina refresh kila muda naona empty
Ama nimekosema kuandika ningesema nina chura kama la sanchi eti?
Msaada matron
Sent using Jamii Forums mobile app
Poa mah vipi[emoji4]
Vingine tu nduguumri mdogo??
[emoji23][emoji23][emoji23]Zama ndani ujaribu bahati yako