Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Umri: Nina miaka 24
Rangi:Jua likiwaka nakua mweupe likizma nakuaga kama maji ya kunde flan .
Sina mtoto wala mchumba ila nmekuelewa wewe nilegezee masharti unipe nafasi tafadhali
 
Dear future hubby

Nipo mke na bonus ya three kids nakupa kabisa kwa jina lako.

Changamkia fursa

Yaani kama wamekunyanyasa huzalishi nakupa watoto kisheria kabisa

Check my PM
Nionyeshe kwanza makaburi ya baba zao kama hautajali nitakua tayar ila kama baba zao wapo hai hapana
 
Natafuta mke wa kuoa umri wangu miaka 37 awe na shughuli ya kufanya miaka kunzia 25 kuendelea njoo inbox
 

Daah! Nimekosa mke hapa kuna kigezo kimefelisha bahati..

Kila la kheri..
 
Umearibu kugusia Chura dadekii[emoji16] kwangu pita hivi

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…