Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
MmmhNiko kitandani.Najiskia upwekee.Nani yuko macho?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MmmhNiko kitandani.Najiskia upwekee.Nani yuko macho?
From Tabora manispaanzega tabora
Hivi sisi tuliooa hivyo tunatafuta tu michepuko ya kubadilishia Mboga siku tukichoka kula vya home nasi tuna comment hapa hapa au?
Okeeee basi sawa labda nianze na wewe waonaje Sasa[emoji23][emoji23]hapa hapa mkuu
Okeeee basi sawa labda nianze na wewe waonaje Sasa
[emoji38][emoji38][emoji38]Natafta mtu tu wa kunispoil ( kuhudumia mahitaji yangu) and I will love you unconditionally. .
Linazungumzika pia hakuna tatzoKumaanisha mie niwe mboga au?
Linazungumzika pia hakuna tatzo
Ewaaaaa njoo basi tuyajenge[emoji2210][emoji2210][emoji2210]nakuja piemu
Ewaaaaa njoo basi tuyajenge
Umri: Nina miaka 24Umri:20-25
kazi: biashara
Urefu :158cm.
Napenda: kupendwa na pesa
Gari : sina
Mtoto: mmoja
Mkoa: Mwanza
Maisha yangu: yako poa 50%
Nmezaliwa : November
Chura: sina
Wivu: wa kutosha
Urembo: 50%
NINAE MUHITAJI
Miaka: 27-30
Mrefu
Mweusi
Dini yoyote
Akiwa na mtoto sawa
Awe na msimamo
Nionyeshe kwanza makaburi ya baba zao kama hautajali nitakua tayar ila kama baba zao wapo hai hapanaDear future hubby
Nipo mke na bonus ya three kids nakupa kabisa kwa jina lako.
Changamkia fursa
Yaani kama wamekunyanyasa huzalishi nakupa watoto kisheria kabisa
Check my PM
Umri:20-25
kazi: biashara
Urefu :158cm.
Napenda: kupendwa na pesa
Gari : sina
Mtoto: mmoja
Mkoa: Mwanza
Maisha yangu: yako poa 50%
Nmezaliwa : November
Chura: sina
Wivu: wa kutosha
Urembo: 50%
NINAE MUHITAJI
Miaka: 27-30
Mrefu
Mweusi
Dini yoyote
Akiwa na mtoto sawa
Awe na msimamo
UmriOky nambie nkulegezee sharti lipi
Umearibu kugusia Chura dadekii[emoji16] kwangu pita hiviUmri:20-25
kazi: biashara
Urefu :158cm.
Napenda: kupendwa na pesa
Gari : sina
Mtoto: mmoja
Mkoa: Mwanza
Maisha yangu: yako poa 50%
Nmezaliwa : November
Chura: sina
Wivu: wa kutosha
Urembo: 50%
NINAE MUHITAJI
Miaka: 27-30
Mrefu
Mweusi
Dini yoyote
Akiwa na mtoto sawa
Awe na msimamo