Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Sina mpango wa kuoa kwa sasa,
Ndoa zenyewe za milele hapana kwa kweli...

Mimi nataka mapenzi ya kudumu,siyo ya kugandana kupitiliza.
Sitaki mabinti wadogo walioko umri wa kujaribujaribu vitu.

Kazi:- mimi ni mtafutaji,nafanya kazi yeyote ilimradi tusilale njaa.
 
Hata uporaji au siyo?!!
 
Yupo mkoa gani
 
Dini: mkristo
Elimu: degree
Urefu 172cm
Kazi: mlinzi wa taifa..
Sina mtoto wala sijwahi kuoa..
Umri miaka 30
Mwanamke ninae mtaka awe na..
Umri: wowote
Hata kama ana mtoto basi awe mmoja
Rangi yoyote..
Awe na shughuli yoyote..

Kwa ulio serious njoo pm tujenge maisha mke wangu
 
Hivi umu Kuna watu ambao wamefanikiwa kabisa kuoana? Au porojo tuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…