David ayeya
Member
- Feb 3, 2021
- 33
- 42
NdioHivi wakuu vigezo vyangu hamjaviona?
Naishi chanika Dsm
Umri- 30yrs
Nahitaji mwenza wa maisha.
Yaani Judi umenipotezea mazima sia mini naomba unifikirie jamani....!!!Awe na sifa gani?
Njombe au[emoji16][emoji16]Kuna mkoa sijaona hata hapa
Vizuri Me nipo Kigogo DarKe,
Msasani-Dar
Mimi hapa mkuuSina mpango wa kuoa kwa sasa,
Ndoa zenyewe za milele hapana kwa kweli...
Mimi nataka mapenzi ya kudumu,siyo ya kugandana kupitiliza.
Sitaki mabinti wadogo walioko umri wa kujaribujaribu vitu.
Kazi:- mimi ni mtafutaji,nafanya kazi yeyote ilimradi tusilale njaa.
Nimeweka hapo juu mkuu🤔Ndio
Vipi dada mume ulimpata?Nipo dodoma mjini